Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Tarehe 17/07/2020 mdogo wake 17/07/2021 yeye [emoji848]?? Mshana unaneno gani hapa.View attachment 1858279
Kafara hili mkuu,ndio maana kamuua yule dogo wa watu bila sababu alijua atasave the sacrifice lakini wapi jamaa wamemng'ang'ania koo wanataka damu yao ikabidi ajisalimishe tu kwa maana hakuwa ameandaa kafara.

Humu JF kuna kisa kama hiki cha yule jamaa wa makambako aliefariki maeneo ya morogoro kwa ajali na mdogo next year year tarehe ile ile akafariki kwa ajali ya gari the same place.
 
Mi naona serikali imwezeshe kila mtu mwenye miaka 18 amiliki bunduki,ili kila mmoja ajue kwamba akizingua naye anazinguliwa.
 
Duh inasikitisha, pombe sometimes siyo kabisa😪
 
Naona mpaka sahv hakuna mtu aliyesema chanzo cha hao kutunguana ni nini!
Naona wadau humu wana ngangania itakuwa mambo ya madem

Ova
mzeebaba hamna sababu ya msingi mpak sasa kwan inadaiwa aliepigwa/aliepiga wote hawajuani kabisa na hakukuwa na fujo baina yao.
 
Nitag huo uzi
 
Kuna siku nilienda kutoa pesa kwenye ATM pale city, sasa kuna jamaa alikuwa ndani anatoa.......nikasema ngoja nisubiri atoke na mimi niingie pale maana sikuwa na uhakika kama machine nyingine zinatoa. Jamaa si akanipandishia kwamba mimi ni mtu mbaya hadi tukajibizana pale. Ni kweli unavyosema kuna watu walishavurugwa ni vizuri kuwa makini...
 
Ile sauti pombe lazima ikate, kuna mwaka tukiwa bar wazee wa kazi wakaingia wakatandika kama tatu hewani.

Kilichotokea ni ndani ya nusu dk lile eneo tuliwaachia wao.
WEEEEEE.m YALINIKUTA SISIMIZI BAR NIKIWA NA MA.PROF WANGU TUNASUKUMA.MWENDO MKUU...SIKIA KWA WATU

KULIKUWA NA KASHAN GWE MEZA YA NNE PALE DARJAN KUSHOTO... MAKAKAA WATATU NA MADADA WAWILI TUKANZA KUCHEKA
WANAUME WAKAENDA NJE TUKAJUA CHOONI KURUDI SI WATU WANYAMA MKUU MMOJA AKASOGEA KARIBUYETU KAMA ANATOA ODA TUKASIIKIA CHAP ANGANI KILAMTU AWRKEMEZANI MZIGO AISEE HAJA ILINTOKA NILIHISI AMENIPIGA MIMI AISEE......WALEMADADA NDIO WAMESIMAMA MLANGON NAO WANA MOTO AISEE PROF MMOJA ALIDONDOKA RIP HAKUWA SAWA TOKA SIKUHIO....NA BAR NKASIZI KWAMDA MKUU NIKIIJARIBU KWENDA BAR NAHISI WANAKUJA WEWEE.. I NGU ATUPONYE TU
W
 
Nkadhan hua wanakusingizia kwamba hujui kuandka. Ila kwa mwandiko huu naona hawakusingizii kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni hulka yake. Mboni sie wahaya tuna sifa ka zote lakin hatujawahi ua mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…