Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Yah nlikuwa upande wa ngambo
Nlikuwa na smbdy Shanga ah tulipotea pale
Alafu maugomvi ya kwenye pombe sababu hazinaga msingi kabisa

Ova
Mpwa haya mamboo Kampala yaan ni kama wana vifurushi vya mwezi yaan SHIDA moja SRC n mizigo doh

Nakumbukaa niliwindwa na JAMAA Mmoja mpaka nikawa natembea na karatasi ina namba za emergency

KINYWAJI n. Ki chochoroni TU Mpwa
 
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu...
Mpwaaa sikiatu yaan nambiwa wenyemaduka ya pembeni waliacha wazi maduka ndukiiii yani walivyosikia Moto angani wakaonaa mlangooo wa mbingunii ule.

Ukitoka hukolazim.a ukasali salamu Maria Marasaba
 
Unaambiwa hapo walipokuwepo kulikuwa na mtu wa usalama,wanakunywa wote na alimwambia kitendo anachofanya siyo
Sasa hapo ndipo alitakiwa kumzuia,lkn inaonekana jamaa alipompiga jamaa watu
Wote walitoka nduki

Ova
Hadi usalama akakimbia
 
Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.

Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Wabongo maisha yao ni mapenzi tu wanawaza chini full time kuliko hata maendeleo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nipo Best , Majanga mengi tu ,Huku soko limeungua Kariakoo hatujakaa sawa Shemeji Kamchoma Zungu ndani ya Nyumba kwa petrol kisa wivu wa mapenzi ,hatujakaa sawa limbukeni Alex kaua na yeye kujiua,hatari sana!!
Duh ndo maisha yalivo, ile inshu si nimesitisha, haiwezekani tena ntakucheki usiku
 
Niko YouTube now ...Kuna jamaa anahojiwa hapa Lemax kanichekesha sana

Anasema huyo Alex toka kakabidhiwa hiyo bastola kila mtu alikuwa anamuonesha/ anamdolishia mpaka watoto wadogo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Na last month kwenye birthday yake sherehe aliifanyia bastola[emoji23][emoji23][emoji1787]

Yaan keki ina muundo wa bastola na bastola original iko pembeni anaiimbia " happy birthday to you x 2 , happy birthday dear pistol happy birthday to you"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Nimecheka almanusura nife

Kuna watu vichaa humu duniani[emoji848]
 
Ana mikopo miwili ya bank ndo ilikuwa inamchachafya[emoji848]
 
Nipo Best , Majanga mengi tu ,Huku soko limeungua Kariakoo hatujakaa sawa Shemeji Kamchoma Zungu ndani ya Nyumba kwa petrol kisa wivu wa mapenzi ,hatujakaa sawa limbukeni Alex kaua na yeye kujiua,hatari sana!!
Unaambiwa akianza kuongea hataki mtu mwingine aongee...ole wako useme lolote anakuamshia na chupa[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…