Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Doh! Si pakwenda
 
Una fantasy za gangbang kichwani. No more no less
 
Ha ha ha ha

Yaani umenirudisha nyuma kweli. Ilaa tuliishi late 80s na very early 90s. Tukaja hamia Arusha. Kuna oale moshi kwa Boti alikua na depo la mahindi. Enzi za nairobi bwana.

Tumelala sana lodge za mama maua sana na dar es salaam street. Moshi watu wanajuana aisee hana miaka ile wooteee. Yaan ile life was woow. Siku hizi biashara z amahindi na mbao hazivambi sana maana tarakea viwanda vya mbao havina nguvu toka vihamie iringa huko.

I was babby scania[emoji23] sema sasa sikumbuki watu aisee ni muda sana. Tilikia hatusettle ni movements za hapa na pale. Kahali ka hewa katamu sana. Huu msiba basi utakua mkubwa sana. I feel sorry for him. Mamake bado yuko?
 
Babu huyo jamaa kwanza kwa tabia yake hakutakiwa kumiliki silaha
Kwa mienendo yake aliyokuwa anafanya lazima
Ingetokea tu naishatokea

Ova
 
𝐀𝐥𝐞𝐱 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞

𝐚𝐜𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐲𝐚 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐣𝐚𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐳𝐚 𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐛𝐚𝐭𝐚𝐧𝐢. 𝐁𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚

𝐫𝐢𝐩 𝐛𝐫𝐨

 
𝐑𝐈𝐏 𝐚𝐥𝐞𝐱𝐨
𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧 𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐥𝐢𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐚𝐢𝐬𝐞𝐞
 
Mwigulu ongeza Kodi kwenye pombe, vijana wanamalizana huku.
 
Najua vijana ni wabishi. Nakumbuka siku moja kulikuwa na msongamano na kijana kama 45 years akawa anachomekea. Nikafungua kioo nikamweleza kistaarabu kuwa utanigonga. Yeye naona bilauli ilishaingia kichwani, akaanza, we mzee Acha ushamba, endesha gari, mara nyie ndiyo mmejifunzia magari uzeeni. Mie kimya tu, sijakaa sawa akanigonga. Mimi nikazima gari, nikatoka nje; si akanivaa mara atake kuongea kwa kunigusa, nikamweleza tafadhali usiniguse maana nipo loaded. Ha ha ha, ilikuwa ni balaa, mara aseme huyu anataka kuniua mara anaringa kuwa ana pistol! Mpaka anaeleza watu kuwa nimemuonesha pistol wakati ukweli sikuwa nayo wakati ule. Mimi nilikuwa namthale tu, ingawa sikuwa nasubiri Kithibiti. Kijana alikuwa na maneno ya shombo yule na ulevi wake, nadhani ningelikuwa Alex nami sijui ila uzee Achana nao.

Kwa mantiki hiyo si ajabu Zawadi -gift au kichagga jifuti, alijitoa Zawadi kwa maneno ya shombo na Alex akafanya kweli. Midomo ni hatari
 
Umeandika kwa speed sana au hao jamaa wapo jirani
 
Dar es salaam street kwa wahaya?
 
Huyo Alex korosho ndo harmonize wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…