Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Ungemtia kofi kumuweka sawa!
Ilitakiwa atambue anaongea na nani.. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Mkuu kwanini alimpiga marehemu risasi zote,alikua n stress z maisha
 
JF pamekuwa pa ajabu sana siku hizi. unamfanyia mwenzio bullying na bado watu wanakupa LIKE😑
 
Ni yule mzee mwenye quick telecom,moshi na chuga?
 
Maelezo yamebalansi maana Alex alionekana kama kaka jeuri na jambawazi. Atleast marehemu anaendelea kupumzika huko aliko.
 
Mkuu ni kwamba ulishawahi kuwa jambenga au...!?
ama sijakupata vizuri manake miandiko hii bana.....na hizi beer za mchana noma kabisa
 
kwanini alikuwa anaitwa Abdi Hussein?
 
Sio kila Afisa yupo physical fit wengine ni wapo kitengo cha umbea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…