Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

hapo pa he was God in moshi pamenihuzunisha

bora imejiua hyo umbwaa shenzz

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sio rafiki wa Bob sambeke huyo???
 
Maduka ya dawa yako wapi? Nasikia yako mitandaoni. Unajua kufanya lile tukio lazima uwe akili nusu kichwani? Mambo ya maduka ya dawa ni vigezo vya kukopea bia dukani au bar. Madalali wana majigambo sana
 
Leo nilikuwa sehem na baadhi ya watu waliokuwepo wakat ili tukio linatokea..nilichogundua ili tukio watu wanaliongelea upande mmoja kwa uyu bwana Alex ila nilichokiona n kila mmoja kujifanya mwamba mbele ya mwenzake ndio kimesababisha aya yote
 
Mzee mbona hujarudi kuleta mrejesho kamili?
 
Unaonaje kitendo cha mtu mwenye silaha kwenda nayo bar na kuanza kuitoa toa na kuringishia watu? Huo siyo ushamba? Kwa nini asiiache kwenye gari ambapo ni sehemu salama zaidi? What if wazee wa kazi wanavamia mlipo then wanakuona una silaha? Si wanaweza kukuona threat kwao na wewe ukawa victim wa kwanza?
 
Asante sana mkuu kwa kuliweka kisomi. Hivi Masai bado upo,? Very sad and sorry for him.
Yaan mlevi huwa ni unsounded mind kabisa. Ndo maana anapuuzwa. Badala ya kupondana nimeona nichukue somo kupitia hili jambo. Kama gift alikua anaenda kumnyang'anya jamaa bomba yake ilikua makosa makubwa sana. Na ni kweli kabisa hata mahakamani alex angeshinda tupunguze mihemko. Bastola amelipia yeye, wewe unataka mnyang'anya ya nini? Ni kosa kubwa sana alifanya na hasa ukizingatia tayari wote wako bwi. Pale ni akili za pombe wote. Huyu mkorofi na huyu hataki dharau. Lazima iwepo hatari..
Na najiuliza kama mpk alex alishaomba msamaha akairudisha akatulia kbs ilikuahe aitoe tena? That means kuna story haijasemwa hapa wanamcover ndugu yetu gift.

Aiseee, kwanini ulieezaje kwenda bar na mzigo mkubwa hivyo? Huogopi? Mimi nikiwa chuo kuna siku mamangu alinipa mil 5 nipeleke bank. Jamani alikua ananipa wosia kama ndo anaenda kufa hivyo. Basi mkaidi kwani nilienda? Nikaenda chuo halaf kigamboni kwa babe. Nikachelewa kutoka. Nimevuka hamna usafiri.. hiyo distance ya hapo ferry mpaka IFM unaielewa jinsi ilivyokua na matukio ya uporaji. Na mpk kulikuaga na noah nyeupe huwezi amini, wanachuo walikua wanaburizwa balaa. Unajua nilifanyaje? Nilijaza mawe kwenye begi na mengine nikaweka mfukoni halaf nikazuga kama nimeweka mikono mfukoni. Kumbe nasubiria mtu anisogelee aone moto wa mawe[emoji23][emoji23][emoji119] na natembea mbali mbali. Kidogo namwona jamaa wa 3rd year naye anarudi nikajisikia amani. Sasa pata picha wewe umeenda kbs club na unajuaga kikinuka inavyokua.

Mlevi hanaga akili siku zote na hakubali kushindwa. Anayekubali kushindwa ni yule hana hela ananyweshwa na boss. Unatumikia sijui punda uunge wajihi. Gift hakutaka dharau.

Aisee, kwa sisi ambao tuna hasira tusimiliki bastola. Sikuwahi jua kama ni mzigo hivi. Nawaona watu wanamiliki najua its easy. Na nikiwazaga watoto anaweza chukua akijua ni toy anaenda lipua wenzake. Kuna siku dogo home hapa wenzake walimchokoza huko nje. Alikuja akakaa keenye kochi anatafakari halaf nikaskia anamwambia dada, baba akija nitamwambia akaninunulie bastola niwaue akina prince wote. It shockes me.
Na mimi aunt yake kuna jamaa mmoja hv mpuuzi halaf huwa ni kibaka. Hiyo siku akanifanyia fujo kwa mambo hata hayamuhusu alipata tender ya ujenzi. Nilichomwambia we niguse tu moto wake utaujua baadae. Hapo alikua keshakula mabangi yake yuko moto. Akanitishia sana. Mm wala sisogei nikamwambia niguse hata kwa ukucha tu. Hakuthubutu tena. Watu wamejaa tele. Nikiwa naondoka nikamwambia kumbe bangi yako ina akili sana haijathubutu kunigusa. Hadi mishipa ilikua imemsimama. Nikasepa. Kutoka pale nikamcheck mzee, nikamwambia ule mpango wa kibomba uendelee tafadhali. Mzee akacheka sana. Akanambia sawa. Na nikaanza kuapa kwakua ni kibaka na ana mbio sana atanikuta siku na kibomba napiga either ya tako ama migoo asiee anaiba na kukimbia tena. Ni kama kiapo nilikula. That means kweli ningeipata maybe ningetimiza. Ubaya nina hasira za karibu sana. Maybe ni hivyo siwezagi react hivi kwa upana. And maybe pia ni kwasababu sina hiyo silaha. So nadhani kuna umuhimu wa kujihoji binafsi. Je, mimi ninazo sifa zote za kumiliki silaha? Je. Haitonigharim mimi na watu wengine ambao hawana hatia? Yaan mtu ujihoji vya kutosha. Kwa mimi Hapana. Acha nilinde uhai wa wengine na wangu. Kujiua bado kabisa.
 
Doooh kama kweli Gift alileta ubabe mbele ya Manati ya Mzungu basi alikosea....Ilitakiwa atambue CHUMA hakina macho kile.

Hata mimi sihitaji kabisa kumiliki BOMBA maana sina uwezo wa kuvumilia ujinga.
Thank you. Hii story naona kama hayajaelezwa kweli upande mwingine.. tujipime sana aisee. Ni kosa kubwa sana kama ilikua ni aim yake. Yaan ni kwamfano mtu anayebuka kwenye zebra anakuambia akinigonga atanilipa. Imagine. Hajui gari ni chombo cha moto na hakina macho. Hajui hata akilipwa ameshapata ulemavu wa kudumu ama kupoteza uhai wake kbs.
 
Maduka ya dawa yako wapi? Nasikia yako mitandaoni. Unajua kufanya lile tukio lazima uwe akili nusu kichwani? Mambo ya maduka ya dawa ni vigezo vya kukopea bia dukani au bar. Madalali wana majigambo sana
Nimeona huko wanasema ana maduka ya dawa. I worked in a pharma. Najua jinsi ilivyo na hela. Hata kama biashara zimeyumba. Nani kasema alex ni dalali.
 
.umesema sahihi kabisa na hakuna aliyesema alex amefanya sawa. Na umesikia wenzie wakisema huwa ni mpenda sifa sana. Ndo nature yake. Huwezi sema ni mshamba. Na maybe aliona hiyo ndo self deffence yake kwake maana wanasema hata nguvu za kupugana hana. Nilichojifunza bar epuka ugomvi. Yaan kaa mbali kbs. Kwanza bora ninywee home kama ni hayo mabia.
 
Ujinga tu mtu kuwa na porno magazine ndio ujanja.

Kuna wabongo kibao miaka hiyo wameshatimba US na nchi za nje Tena kwa kuzamia meli sembuse Huyo limhukeni alienda US kwa tiketi ya baba.


Kipindi hicho mabaharia kibao wameshafanya hayo yote na wako kimya.


Huyo Alex ni mpuuzi tu Hana lolote Bora limekufa ili kupunguza vichaa wanaomiliki Silaha maaana angeweza kufanya hata mass killing.


Jinga kabisa lile eti keki linachora Bastola. Maiti Yake ichapwe viboko kwa kutuuwia innocent man. Si lingejiua lenyewe tu mpaka liondoke na roho ya mtu mwingine.

Ushamba tu. Kwenda Marekani sio lazima kufuta ushamba. Wengine ushamba uko kwenye Vein Muscles kama Hilo chizi lilikuwa Ngumbaru licha ya kuwa na exposure ya kwenda nje.

Rest In Hell
 
Alionekana chizi ndio maana walitaka apokonywe Silaha.


Unakimbilia kusema akitaka kupokonywa Silaha ila husemi kwanini walitaka kumpokonya Silaha. Ndio maana tunasema Hilo Marehemu ni limbukeni. Watu wangejuaje ana Silaha Kama asingekuwa anaonesha hadharani?

Kila mtu kwenye hii nchi anaemiliki Silaha akisema awe anaionesha Silaha yake patakalika kweli ? Na sheria ya umiliki wa Silaha inasemaje kuhusu kuonesha Silaha hovyo ?

Acheni kutetea makosa hata Kama alikuwa rafiki semeni ukweli daima.


Marehemu alikuwa mshamba hata Kama amewahi kwenda Marekani haimuondolei kuwa mshamba.


Bora limekufa shenzi Lile limetuuwia innocent citizen.
 
Hata mimi nimefurahi limekufa, nimefarijika kwamba alijiachia risasi moja kwa ajili yake, marehemu hakua na akili, marehemu ni taahira.

Nahisi pia marehemu alikua shoga na lile ni mwili lake limejaa nyama watakua walikua wanaliinamisha, pumbavu sana.
 
Eeeh Basi Marehemu alikuwa mshamba na maiti Yake ichapwe viboko kwa kutuuwia innocent citizen.
 
Hata huo umri wake wanaosema 37 nina wasiwasi nao, kwa muonekano wake na stories zake tulizosikia humu inaonesha ni mtu wa 40's, kuchakachua umri kawaida sana siku hizi hasa hawa watu wanaojiita wa kishua! Kama aliweza kutumia jina la mtu shuleni atashindwaje kuchakachua umri wake?
 
Hayo maduka ya Dawa unajua anamiliki Nani au mnaongea tu story za mabaa ?

Hayo maduka hayakuwa ya kwake alikuwa ameajiriwa kuwa Kama msimamizi! Niko tayari kuja kukosolewa nikutajie mmiliki wa hayo maduka na nikuwekee Hadi evidence hapa na juzi milard ayo kamfanyia interview.


Bongo story ni nyingi za uongo uongo.
 
Jamaaa shamba Sana aiseeh.

Linajifanya linajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…