Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

[emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nasubiri kuimiliki. Itakua dawa ya wale ukipita kwenye mikusanyiko mara akushike tako mara nyonyo. Napiga kidudu chake
Kwani Warombo mna tako!!
Hahaaa natania tu!! Sasa utapiga vidudu vingapi!!
 
Mauaji ya ajabu ajabu yamekithiri, shida sijui iko wapi
 
Huyo anayedai atumie njia mbadala kumfundisha huyo Mbwigila adabu. Vizia yuko mwenyewe chobingo kisha mtwange Tofali la kichwa afu tambaa zako.. Pesa yako ataenda kuwalipa Malaika huko.
 
Unaweza kukutana na mtu ana mawazo yake we unaanza kuingia anganzake, utaambulia kuuwawa bure. Siku hizi maisha magumu kila mtu ana mambo yake kichwani, yawezekana jamaa alikuwa anakunywa akajiue huyo bwege mziba pancha akaleta ujuaji wa silaha.

Wanaoijua silaha ya moto hata huwa hawasogelei hapo unaita polisi kimyakimya unasepa hiyo bar, yeye analeta ustelingi.

Unaishia kuuwawa au kilema Cha kujitakia.
 
Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.

Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Wengi wa vijana wa kibongo akili zao zinawatosha wao tu. Mbel, nyuma, kushoto, kulia wanaona ngono tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…