Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

This is the game of the legends, daah! Kiukweli nimeshitushwa sana, machozi yakanilenga na nikaishiwa nguvu kabsa. Kiukweli taarifa kama hizi kwa mfanyabiashara mkubwa au mtu yeyote mwenye nia ya kuwekeza hapa nchini sio habari njema kabsa. MORE MONEY, MORE PROBLEMS


BRING BACK
#MO DEWIJ
 
Pole kwa familia ya Mo, tusijali siasa zake, utajiri au asilia yake, majanga ni majanga tu hayajali wewe ni wa rangi gani au una pesa ngapi, tumuombee arudi salama aungane na familia yake...
 
kutekana tekana ni uhuni wa kishamaba.. Pole kwa familia yake sipati picha wasiwasi na majonzi vilivyowafunika. Mungu amtetee apatikane salama
 
Jamaa anapenda media anataka kila saa aonekane kwenye media, hajui kama anatutoa attention ya kumuokoa Mo
 
Watu sijui huwa wanashindwa kujiongeza. Yani hata ukiwa na walinzi kuna siku utakutwa off guard tu.

Na ubaya ni kuwa hakuna anaeijua hiyo siku. Cha msingi ni kumuomba Mungu tu atulinde na wabaya wa ulimwenguni.
Arifu, naona unajaribu kuwaelewesha waliyokariri mambo.
 
Alidhan tutashtuka

Akat tushazoea biashara zao za kimalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…