Nawaona mawaziri waandamizi 3 wapo
"Mstaafu' wa mhimili mmojawapo yupo
Wabunge hasa wa kanda ziwa wapo!
Anyway, ni watu wasio na mvuto ktk jamii hivyo hawana madhara yoyote.
Ni chama cha kimkakati kuelekea 2025,Hakuna chama hapo. Ni genge la wahuni tu
Hujui lolote wewe!
Uliza Lissu ccm wakuambie namna walivyomchakachua kwa wizi wa kutisha!
Uliza Mrema alichowafanyia ccm 1995 ndio utajua wizi wa ccm!
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Hii haiwezi kuwa kweli angalia historia ya mahali tofautitofauti...Chama huanzishwa hukua na kufa .. Muda wa kufa CCM utakapofika itakufa tu... CCM siyo IMMORTALCCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Huu ni ule utapeli wa Lowassa kuwa ataondoka na wabunge wa ccm kwenda nao cdm. Hakuna mwanaccm awe mbunge au waziri atathubuti kuondoka ccm kwenda popote maana hakuna mwenye uwezo wa kushindana kihalali akashinda. Kama hao wabunge na mawaziri wa ccm walikuwa wanataka kutest mitambo, juzi kulifanyika uchaguzi ndani ya ccm, mbona Kinana mbali ya kumbagaza Magufuli alipata kura 100%. Tungeona akipata kura chini ya hapo, au malalamiko ya kutokuridhika na kura zile.
Hicho chama ccm na Tiss wamechemka kwa kupoteza fedha za umma bure, hakuna anayepotezwa maboya kwa chama cha aina hiyo.
Hii haiwezi kuwa kweli angalia historia ya mahali tofautitofauti...Chama huanzishwa hukua na kufa .. Muda wa kufa CCM utakapofika itakufa tu... CCM siyo IMMORTAL
Kitu kinachoitwa system ni dhana fikirika ... Ukiitafuta system huipati kabisa... Na wala haitakaa kufanya lolote. Kwa sababu kinachoitwa system ni watu..Ambao wanazaliwa, wanakufa au kubadilika misimamo au kushindwa kuendelea na jambo lolote... Muda ndio unaoamua, system haina nguvu kihivyo.Ni kweli , lakini CCM inabebwa na system. System ndio itaamua Ni muda wa CCM kuondoka au bado.
Hawaaminiki hao...Lowassa wakati ule alisema kuna kundi kubwa la mawaziri litamfuata (ingalau kuna ng'ombe waliokatwa mkia walimfuata), Mpendazoe nae alisema hivi hivi eti wanasubiri tu bunge liishe wajiunge na CCJ....huwa wanapima upepo wakiona hauvumi nyema wanaingia mitini na kuwa wamewatoa wenzao sadakaNawaona mawaziri waandamizi 3 wapo
"Mstaafu' wa mhimili mmojawapo yupo
Wabunge hasa wa kanda ziwa wapo!
Anyway, ni watu wasio na mvuto ktk jamii hivyo hawana madhara yoyote.
Kuna mtu alikuwa mgumu kuliko Magufuli? Kwa taarifa yako alishapanga na kuamini kuwa kile kiti atakaa anayemtaka yeye baada ya yeye kuondoka. Lakini mambo yalivyobadilika hakuna aliyetarajia. Kwenye siasa na utawala muda mfupi sana unaweza kuleta mabadiliko makubwa.Wameshajifunza.. Hili kundi la Samia kulitoa madarakani labda jeshi liingilie kati
Kwa sasa CCM watakua makini sana kumchagua mgombea, hakuna Magufuli mwingine atakayetokea
Mpina hakosi kwenye hiyo list pamoja na wale Covid-19 lazima watajichanganya humo.
Tena msiba ulikuwa Tabata Fred Mpemdazoe alifariki apumzike kwa amaniSidha
Sidhani Kama amefariki
Uliwahi kuitafakari kwa kina kauli za " ... amefariki kimwili lakini ataishi pamoja nasi kiroho, kifalsafa, n.k."?Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Kuna wanazi mpaka leo ni watiifu kwa Adolf HittlerHivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Unfortunately wanaemtii amekufa na hawezi kurudi Ikulu..
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Kuna binadamu ni waumini wazuri sana kuabudu binadamu wenzao wakati Mungu hapendi.Yaani watu waanzishe chama ili kuenzi mawazo ya binadamu mwengine! Yaani hata mawazo yao hawayaamini, Bongo ovyo sana.