Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Nawaona mawaziri waandamizi 3 wapo
"Mstaafu' wa mhimili mmojawapo yupo
Wabunge hasa wa kanda ziwa wapo!
Anyway, ni watu wasio na mvuto ktk jamii hivyo hawana madhara yoyote.

Thank you. Ndugai ataongea nini Leo upinzani wakati aliwatesa wenzake akiwa spika.
 
Hujui lolote wewe!
Uliza Lissu ccm wakuambie namna walivyomchakachua kwa wizi wa kutisha!
Uliza Mrema alichowafanyia ccm 1995 ndio utajua wizi wa ccm!

Wewe unajua Nini? Mnaipinga Chadema halafu hapo hapo mnasema CCM Ni wezi wa kura. Wakati Chadema inapigania Katiba mpya na Tume huru nyie mnaizodoa halafu mnataka mje na chama kipya kuishinda CCM from no where.

CCM inakiogopa chama kimoja tu Tanzania, CHADEMA. Nyie wengine mnachekesha watu tu.
 

Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.

Huu ni ule utapeli wa Lowassa kuwa ataondoka na wabunge wa CCM kwenda nao CHADEMA. Hakuna mwanaccm awe mbunge au waziri atathubuti kuondoka CCM kwenda popote maana hakuna mwenye uwezo wa kushindana kihalali akashinda. Kama hao wabunge na mawaziri wa ccm walikuwa wanataka kutest mitambo, juzi kulifanyika uchaguzi ndani ya ccm, mbona Kinana mbali ya kumbagaza Magufuli alipata kura 100%. Tungeona akipata kura chini ya hapo, au malalamiko ya kutokuridhika na kura zile.

Hicho chama CCM na Tiss wamechemka kwa kupoteza fedha za umma bure, hakuna anayepotezwa maboya kwa chama cha aina hiyo.
 
CCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Hii haiwezi kuwa kweli angalia historia ya mahali tofautitofauti...Chama huanzishwa hukua na kufa .. Muda wa kufa CCM utakapofika itakufa tu... CCM siyo IMMORTAL
 
Huu ni ule utapeli wa Lowassa kuwa ataondoka na wabunge wa ccm kwenda nao cdm. Hakuna mwanaccm awe mbunge au waziri atathubuti kuondoka ccm kwenda popote maana hakuna mwenye uwezo wa kushindana kihalali akashinda. Kama hao wabunge na mawaziri wa ccm walikuwa wanataka kutest mitambo, juzi kulifanyika uchaguzi ndani ya ccm, mbona Kinana mbali ya kumbagaza Magufuli alipata kura 100%. Tungeona akipata kura chini ya hapo, au malalamiko ya kutokuridhika na kura zile.

Hicho chama ccm na Tiss wamechemka kwa kupoteza fedha za umma bure, hakuna anayepotezwa maboya kwa chama cha aina hiyo.

Tell them mkuu
 
Hii haiwezi kuwa kweli angalia historia ya mahali tofautitofauti...Chama huanzishwa hukua na kufa .. Muda wa kufa CCM utakapofika itakufa tu... CCM siyo IMMORTAL

Ni kweli lakini CCM inabebwa na system. System ndio itaamua Ni muda wa CCM kuondoka au bado.
 
Ni kweli , lakini CCM inabebwa na system. System ndio itaamua Ni muda wa CCM kuondoka au bado.
Kitu kinachoitwa system ni dhana fikirika ... Ukiitafuta system huipati kabisa... Na wala haitakaa kufanya lolote. Kwa sababu kinachoitwa system ni watu..Ambao wanazaliwa, wanakufa au kubadilika misimamo au kushindwa kuendelea na jambo lolote... Muda ndio unaoamua, system haina nguvu kihivyo.
 
Nawaona mawaziri waandamizi 3 wapo
"Mstaafu' wa mhimili mmojawapo yupo
Wabunge hasa wa kanda ziwa wapo!
Anyway, ni watu wasio na mvuto ktk jamii hivyo hawana madhara yoyote.
Hawaaminiki hao...Lowassa wakati ule alisema kuna kundi kubwa la mawaziri litamfuata (ingalau kuna ng'ombe waliokatwa mkia walimfuata), Mpendazoe nae alisema hivi hivi eti wanasubiri tu bunge liishe wajiunge na CCJ....huwa wanapima upepo wakiona hauvumi nyema wanaingia mitini na kuwa wamewatoa wenzao sadaka
 
Wameshajifunza.. Hili kundi la Samia kulitoa madarakani labda jeshi liingilie kati
Kwa sasa CCM watakua makini sana kumchagua mgombea, hakuna Magufuli mwingine atakayetokea
Kuna mtu alikuwa mgumu kuliko Magufuli? Kwa taarifa yako alishapanga na kuamini kuwa kile kiti atakaa anayemtaka yeye baada ya yeye kuondoka. Lakini mambo yalivyobadilika hakuna aliyetarajia. Kwenye siasa na utawala muda mfupi sana unaweza kuleta mabadiliko makubwa.
 
Mpina hakosi kwenye hiyo list pamoja na wale Covid-19 lazima watajichanganya humo.

..vigogo wa Umoja Party wanatakiwa wajitokeze sasa hivi wajenge chama chao.

..wakijificha na kutanguliza watu wepesiwepesi wasio na ushawishi ktk jamii hicho chama hakitafika popote.
 
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Uliwahi kuitafakari kwa kina kauli za " ... amefariki kimwili lakini ataishi pamoja nasi kiroho, kifalsafa, n.k."?
Kuna baadhi ya mambo ukitenda huwa haufi ndani ya mioyo na fikra za watu walioguswa na matendo au maono yako wakati ulipokuwa hai kimwili.
 

Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Unfortunately wanaemtii amekufa na hawezi kurudi Ikulu..

Pili huu ni uzushi na Wala haiko hivyo. Mbunge yupi utamwambia awe mtiifu kwa Mwendazake wakati wanajua walipita kwa favour za polisi?

Leo hii wabunge wabunge wanafurahia miradi na mapesa majimboni ndio waje kuwa watiifu kwa Umoja Party?
 
Ccm siyo wachawi bali inawanachama wa kweli , leo umeona wanawake jambo lao linapita bila kelele na ndiyo mtaji mkubwa wa chama baba leo upo chadema unamlazimisha mkeo awe chadema oh mume tupo pamoja akienda kikoba chama kama kawa uchaguzi mama kamchaguwe lisu mama akienda anamchagua anae mtaka ccm matokeo yakija mmeibiwa kura kumbe wewe umepoteza kura 2 halafu ukamwongeza 1 ccm inakaa vipi hapo ukija akina mama chadema hawana ushawishi kama wa ccm na bado kunamamluki vipi hapo mjipange sana hata bodaboda wote tanzania wawe upinzani huwezi shinda lamda njaa tu na ulevi basi.
 
Naikubali hii na kama itafeli tutajua la kufanya
 
Yaani watu waanzishe chama ili kuenzi mawazo ya binadamu mwengine! Yaani hata mawazo yao hawayaamini, Bongo ovyo sana.
Kuna binadamu ni waumini wazuri sana kuabudu binadamu wenzao wakati Mungu hapendi.
 
Mkiwa kwenye system tukiwaambia badili mfumo wa uongozi CCM hamsikii.
KILA siku hawasikii, waondoe mambo ya kofia mbili hawataki. Mfumo wa CCM ni fully udikteta, yaani Mwenyekiti ndie mmiliki wa chama wakati huo.
 
Back
Top Bottom