SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Imenifurahisha sana hayo uliyobandika.Yaani watu waanzishe chama ili kuenzi mawazo ya binadamu mwengine! Yaani hata mawazo yao hawayaamini, Bongo ovyo sana.
Kweli kama yale ya Uingereza, marika na rushia.Kuna binadamu ni waumini wazuri sana kuabudu binadamu wenzao wakati Mungu hapendi.
Acheni siasa za ukanda sisi watanzania ni wamoja
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Ni ngumu sana wenye akili ndogo kuelewa,
Kina stalin, joji washingitoni wako wengi aiseeHivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Uzushi sasa hadi kwenye mitandao hatuwezi kutaja majina hii topic ni ya nini? umbweya au....
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Wengi ni Sukuma Gang.Hakuna chama hapo. Ni genge la wahuni tu
Nyinyi ndiyo wale mnao sema waafrika wanaabudu mizimu wakati mzungu aliye kufa na kufufuka amsemi mzimu na mudi amsemi mizimu mnadai ni mitume na manabiiHivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Hakika karata kama ya kuanzisha kaa nchi yao!Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Hakika karata kama ya kuanzisha kaa nchi yao!Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Walipokuwa kwenye ulaji walijisahau, waliodai katika mpya walionekana wasaliti. Waliodai uhuru wa kisiasa ulio kwenye katiba wakaonekana wasaliti/ wasio itakia mema nchiHao loyal wa Magufuli watajuta kupinga katiba mpya na tume huru🤣🤣🤣
Yaani si hivyo tu, wengine mpaka kuna makumbushobya binadamu wenzao bado wamo kwenye jeneza, hawajazika mpaka leo hii.Nyinyi ndiyo wale mnao sema waafrika wanaabudu mizimu wakati mzungu aliye kufa na kufufuka amsemi mzimu na mudi amsemi mizimu mnadai mitume na manabii
Hivi wewe unajua magufuli legacy maana yake nini ? Magufuli legacy inafanya kazi hadi ndani ya CCM NA UPINZANI HATA NDANI YA CHADEMA IPO hivyo hicho chama ni KICHOCHEO TU ILI TUPATE PA KUWAPIGANIA WANANCHI NA KUWASEMEA NA KUWA DHIHILISHIA WALE WALIO SEMA MAGUFULI ALIKUWA HAPENDWI hivyo icho chama kitasaidia sana kutakasa jina la jpm pale tu wananchi wak8kikubali na kuwa chama chenye nguvu kuliko vyama vyote tz ,niswala la muda tu .Ila usidhani tuna jitoa wote ndani ya ccm la ...tutakuwa tunapiga vita kama chama tawala na kama upinzaniCCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Wewe ni zuzu ccm gani unayo sema wewe ujui ndani ya ccm kuna makundi mawili WAHUNI WA MSOGA NA WAZALENDO WANAO JULIKANA KAMA SUKUMA GANG VITA VITAPIGWA NDANI NA NJE TUNAUNDA CHAMA KIPYA KUPIGA NJE ,hiyo usijidanganye kuwa ccm ni team msoga tuSukuma Gang na chama chao.
Sii mbaya aje tupambane na CCM.
Tutawapigachini mchana kweupe.
Wasizisahau tu sera za Magufuli, ukabila, wizi, upendeleo na utekaji.
Sukuma Gang mumuenzi Magufuli tu kwa hizo sera hasi, na mtaishia shimoni-kama yeye.
Hata Samia Suluhu akikaidi Kilio cha watanzanja ipo siku ataikumbuka Katiba Mpya.Walipokuwa kwenye ulaji walijisahau, waliodai katika mpya walionekana wasaliti. Waliodai uhuru wa kisiasa ulio kwenye katiba wakaonekana wasaliti/ wasio itakia mema nchi
Leo hii Samia hajawafanyia lolote baya tayari mmeanza kujishuku kuonewa. Hivi mngekuwa mmewekwa ndani au kupotezwa mngesemaje?
Na walio madarakani sasa, someni hayo ; madaraka yana mwisho - jiandalieni mwisho mwema (katiba ya wananchi)
Sikuwahi kuwajua huko nyuma. Sasa hivi wako wazi sana.Wengi ni Sukuma Gang.
Hawa jamaa ni wakabila sana.
Kama marikani, uingeleza, rushia hovyo sana. Na mashabiki wake kama kaburu gangNchi ya hovyo sana hii
Tumieni kujua formation ya kisiasa ya sasa ni hii hapaMie nawasubiri 2025 mtavyoibiana kura kati ya CCM na hiyo umoja party,waizi wawili mtakutana kwenye box la kupigia kura
Tumia akili hata kidogo mambo yapo hiviKwa katiba hii ya kifala hakuna chama kitaweza kuipiga chini CCM....bila katiba mpya ni kazi bure Tu na kujilisha upepo