SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Imenifurahisha sana hayo uliyobandika.Yaani watu waanzishe chama ili kuenzi mawazo ya binadamu mwengine! Yaani hata mawazo yao hawayaamini, Bongo ovyo sana.
Kuanzia kule Uingeleza ka Boris, ukaingia marika ya Trump, Urasia ya Putini, wote hovyohovyo. Yaani mijitu yale na kujisifia kote huko bado tu yanang'ang'nia mawazo ya mijitu hovyo kama hawa, tena kama tunavyojua wabongo, hii mikatili yaani Trum, Putini ja Boris wana kimoja yaani ni ma bigot, zamani nilifikiri hilo neno Big-ot, bigot lina maana ya mtu Mkubwa, kumbe ni yenye mlengo wa ukaburu! Wamejaa uhasama uhasama tu wazandiki n.k
Yaani hayo majitu hovyo sana.