Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Yaani watu waanzishe chama ili kuenzi mawazo ya binadamu mwengine! Yaani hata mawazo yao hawayaamini, Bongo ovyo sana.
Imenifurahisha sana hayo uliyobandika.

Kuanzia kule Uingeleza ka Boris, ukaingia marika ya Trump, Urasia ya Putini, wote hovyohovyo. Yaani mijitu yale na kujisifia kote huko bado tu yanang'ang'nia mawazo ya mijitu hovyo kama hawa, tena kama tunavyojua wabongo, hii mikatili yaani Trum, Putini ja Boris wana kimoja yaani ni ma bigot, zamani nilifikiri hilo neno Big-ot, bigot lina maana ya mtu Mkubwa, kumbe ni yenye mlengo wa ukaburu! Wamejaa uhasama uhasama tu wazandiki n.k

Yaani hayo majitu hovyo sana.
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Acheni siasa za ukanda sisi watanzania ni wamoja
 
Ingekuwa poa sana kama tungekuwa na vyama visivyozidi vitano tu.

Hii kuwa na vyama karibu 20 haina tija kabisa.
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Uzushi sasa hadi kwenye mitandao hatuwezi kutaja majina hii topic ni ya nini? umbweya au....
 
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Nyinyi ndiyo wale mnao sema waafrika wanaabudu mizimu wakati mzungu aliye kufa na kufufuka amsemi mzimu na mudi amsemi mizimu mnadai ni mitume na manabii
 
Watu wengi awaelewi nini kinakwenda kufanyika
......kitu tunacho kwenda kukifanya ni kutengeneza magufuli legacy kupitia upinzani na kupigania magufuli legacy ndani ya ccm hivyo tunapiga nje ndani
 
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Hakika karata kama ya kuanzisha kaa nchi yao!

Hebu fikiri hawa watu wangeamua kanda yao iwe nchi, sijui kama utakuwa na kiherehere kama hicho, miwivu ambayo unayo si utashindwa hata kumeza kabisa!

Kaburu gang wawe waangalifu sana, kwani hizo karata za kibaguzi ndio itawaweka roho juu, mtakosa maji safi, dhahabu, samaki n.k
Tumieni akili 'kaburu gang na sio upuuzi wenu
 
Hao loyal wa Magufuli watajuta kupinga katiba mpya na tume huru🤣🤣🤣
Walipokuwa kwenye ulaji walijisahau, waliodai katika mpya walionekana wasaliti. Waliodai uhuru wa kisiasa ulio kwenye katiba wakaonekana wasaliti/ wasio itakia mema nchi
Leo hii Samia hajawafanyia lolote baya tayari mmeanza kujishuku kuonewa. Hivi mngekuwa mmewekwa ndani au kupotezwa mngesemaje?
Na walio madarakani sasa, someni hayo ; madaraka yana mwisho - jiandalieni mwisho mwema (katiba ya wananchi)
 
Nyinyi ndiyo wale mnao sema waafrika wanaabudu mizimu wakati mzungu aliye kufa na kufufuka amsemi mzimu na mudi amsemi mizimu mnadai mitume na manabii
Yaani si hivyo tu, wengine mpaka kuna makumbushobya binadamu wenzao bado wamo kwenye jeneza, hawajazika mpaka leo hii.
Wengine misanamu yao na mifarasi. wana siku zao za kuabudu.
ovyo
 
CCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Hivi wewe unajua magufuli legacy maana yake nini ? Magufuli legacy inafanya kazi hadi ndani ya CCM NA UPINZANI HATA NDANI YA CHADEMA IPO hivyo hicho chama ni KICHOCHEO TU ILI TUPATE PA KUWAPIGANIA WANANCHI NA KUWASEMEA NA KUWA DHIHILISHIA WALE WALIO SEMA MAGUFULI ALIKUWA HAPENDWI hivyo icho chama kitasaidia sana kutakasa jina la jpm pale tu wananchi wak8kikubali na kuwa chama chenye nguvu kuliko vyama vyote tz ,niswala la muda tu .Ila usidhani tuna jitoa wote ndani ya ccm la ...tutakuwa tunapiga vita kama chama tawala na kama upinzani
 
Sukuma Gang na chama chao.
Sii mbaya aje tupambane na CCM.
Tutawapigachini mchana kweupe.

Wasizisahau tu sera za Magufuli, ukabila, wizi, upendeleo na utekaji.
Sukuma Gang mumuenzi Magufuli tu kwa hizo sera hasi, na mtaishia shimoni-kama yeye.
Wewe ni zuzu ccm gani unayo sema wewe ujui ndani ya ccm kuna makundi mawili WAHUNI WA MSOGA NA WAZALENDO WANAO JULIKANA KAMA SUKUMA GANG VITA VITAPIGWA NDANI NA NJE TUNAUNDA CHAMA KIPYA KUPIGA NJE ,hiyo usijidanganye kuwa ccm ni team msoga tu
 
Walipokuwa kwenye ulaji walijisahau, waliodai katika mpya walionekana wasaliti. Waliodai uhuru wa kisiasa ulio kwenye katiba wakaonekana wasaliti/ wasio itakia mema nchi
Leo hii Samia hajawafanyia lolote baya tayari mmeanza kujishuku kuonewa. Hivi mngekuwa mmewekwa ndani au kupotezwa mngesemaje?
Na walio madarakani sasa, someni hayo ; madaraka yana mwisho - jiandalieni mwisho mwema (katiba ya wananchi)
Hata Samia Suluhu akikaidi Kilio cha watanzanja ipo siku ataikumbuka Katiba Mpya.
 
Mie nawasubiri 2025 mtavyoibiana kura kati ya CCM na hiyo umoja party,waizi wawili mtakutana kwenye box la kupigia kura
Tumieni kujua formation ya kisiasa ya sasa ni hii hapa
CCM Team msoga vs CCM team Jpm + jpm new part
 
Kwa katiba hii ya kifala hakuna chama kitaweza kuipiga chini CCM....bila katiba mpya ni kazi bure Tu na kujilisha upepo
Tumia akili hata kidogo mambo yapo hivi
CCM ya wahuni vs CCM ya wazalendo + Jpm new part
 
Back
Top Bottom