Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Mwili wa ntangazaji wa kipindi cha Jarida la Wanawake kinachorushwa na televisheni ya ITV, Blandina Sembu umeokotwa pembeni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha kifo bado hakijajulikana.

Chanzo: MCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…