Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

View attachment 1736495
View attachment 1736481
Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita.

Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC.

Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo.
Taarifa rasmi zitafuata.
Nanii angekuwepo hai wangesema yeye anahusika.
Naomba niishie hapo
 
View attachment 1736495
View attachment 1736481
Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita.

Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC.

Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo.
Taarifa rasmi zitafuata.

Ngoja niishie tu kutoa Pole yangu ila....!!
 
Haya ya utekaji na uuaji tulishayasahau,yani Jiwe kaondoka tu haijapita hata mwezi tayari maonezi yameanza.Daah so sad
Haya ninyi mliokuwa mnamhusisha Magu mpoo!? RIP dada!
 
Back
Top Bottom