Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

Lakini watu bhana, sqsa huyo kwanza ukimvamia hata hawezi jisaidia maskini na mkono mmoja jitu limuua....
 
Kati ya mambo ambayo ninayahofia baada ya kifo Cha JPM Ni hili la wimi la ujambazi.... Tulikuwa peace hatari
Mkuu ujambazi ulimalizwa kipindi cha kikwete ,majambazi wengi walikuwa ni baadhi ya askari wasiokuwa waaminifu wakishirikiana na majambazi wa kitaa,Mahita ndio alikuwa ana engineer magenge ya majambazi na yeye anakula cha juu...Majambazi hayawezi kurudi tena maana wengi walishakula "VYUMA".
 
Katika kazi sizipendi naziogopa zenye hatari ya kupoteza maisha bila Mungu kupenda ni

1.Usalama (polisi na wanajeshi)
2.Uandishi wa Habari
3.Udereva (wa aina yeyote ile iwe ndege/meli/rocket,nk)

Hizi sekta 3 hizi Mungu apende asipende wanadamu wanaweza amua yao wakafanya kweli.
 
Huyu Dada ameuwawa?

Kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…