Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Yes. When confronted with two evils you have to choose the least. 😀 😀 😀
Yeah, choosing between the lesser of two evils😂😂😂
I would rather be his “free use toy” considering I would still be alive, compared to fvcking drowning.
 
Mjifunze kuangalia na kufuatilia maswala ya utabiri wa Hali ya hewa, kazi kufuatilia udaku tu, ukifungua tu simi yako inakupa utabiri lakini sijui wangapi huwa tunajari.

Ukibifya hapo unapata taarifa zaidi Kwa saa na Siku Za mbele

Screenshot_20240121-115446~2.png
 
Bado mvua ni kubwaaa.....na inakuja zaidi.View attachment 2878070

Zingatia: sio lazima utoke kama huna sababu ya lazima sana.

Pia kwa wenye magari madogo aka saluni ongeza umakini kukatiza mitaro ya maji.

Kama gari lako lina tatizo ya battery pia tulia maana likizima katikati ya mvua hakuna booster...ni ushauri tu.
TMA inyamaze tu wanatutangazia wakati sisi tayari tuko barabarani!
 
Kuna nabii alitabiri, Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu, itafunikwa na maji, kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho. Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu. Ila walio wengi waliposikia unabii huo, walimdhihaki mtoa unabii.

Biblia inasema "msiutweze unabii, bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!
Mbona kama TMA walishatoa tahadhari tangu mapema? Huyo Nabii alitabiri lini?
 
Mjifunze kuangalia na kufuatilia maswala ya utabiri wa Hali ya hewa, kazi kufuatilia udaku tu, ukifungua tu simi yako inakupa utabiri lakini sijui wangapi huwa tunajari.

Ukibifya hapo unapata taarifa zaidi Kwa saa na Siku Za mbele

View attachment 2878322
Sasa kwa mvua hii hata ungejua itanyesha ungeweza kuzuia nini? Angalia kule Mbweni na Kunduchi wangezuia nini na mvua imezidi hadi miundombinu imezidiwa?
Labda wangekimbia nyumba zao.
 
Kuna nabii alitabiri, Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu, itafunikwa na maji, kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho. Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu. Ila walio wengi waliposikia unabii huo, walimdhihaki mtoa unabii.

Biblia inasema "msiutweze unabii, bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!
Hakuna unabii wowote, ukifuatilia news na site ya NASA unaelewa weather forecast ya dunia nzima.
 
Back
Top Bottom