Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

20240121_152247.jpg
 
Sawa mkuu. Siwezi kubadilisha tittle ya uzi. Nasubiri mods wakiamka waje kubadilisha. Asante kwa kunikumbusha mkuu.

Tuko Pamoja Mkuu. Naona Mods wamerekebisha. Hizi mvua hazina masihara.
 
Kaeneo kadogo mnalundikana watu milioni 6,mnaanza kuilaumu Ccm 😀,rudini simiyuView attachment 2878447
Tatizo wananchi wakorofi nao wakiona mvua kubwa kiasi hiki wanaitumia kama fursa kutapisha vyoo vyao. Ukute hao raia wanaogelea kwenye maji yenye kinyesi. Tunaomba Chalamila hili nalo alibebe akalitolee tamko.
 
Nipo Kigamboni mvua ni kubwa sana na umeme kama kawaida umekatwa.
Leo mtageuka vibua , full kuogelea kwenye maji yaliyosheheni mbolea ya wakazi wa mji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maafa yatakuwa makubwa sana, hii mvua imevuka wastani, miundombinu itaharibiwa vibaya mno. Tuombe Mungu.
Na panya road waanzishe operation ya nyumba kwa nyumba ili wawaminye vizuri , maana huu muda wanaume wa Dar hata kutoka nje hamtaki , mnaogopa radi na matone ya mvua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dar ni slum Tu , ule mji haufai kwa watu wengi kuishi , ni maeneo machache sana ambayo yalikuwa designed kuishi watu humo ,tangia enzi za mjerumani
Sasa wabongo mmejazana kama sisimizi humo , lazima hata miundo mbinu izidiwe + poor uban planning ya serikali ya wapumbavu ccm
Kazi mnayo
 
Dar hata drainage system ya maji mji mzima ni mbovu mno , mnategemea nini sasa , mitaro hamna na hata miradi iliyopo imeziba na haipeleki maji kwenye mikondo yake kama inavyotakiwa ,Dar ndio jiji mvua ikinyesha kidogo ,mji haupitiki , maji machafu yanajaa mpaka kwenye barabara na highways , ni aibu sana
 
Back
Top Bottom