Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Yap TANESCO wamekata umeme Bunju! Nimeshangaa walichelewa nini!
Tuendelee kusherekea Uhuru, Mapinduzi na Muungano! Watu wapige hela mpaka zipigike!
Na kushambulia wanaotaka mabadiliko iwe KATIBA, SHERIA ZA UCHAGUZI, HAKI, UWAJIBIKAJI!
Tuwaone hawqpendi AMANI NA UPENDO Kwa viongozi wetu wa ChukuwaChakoMapema!
Hata kwenye kipindi hiki cha maafa ya mafuriko tutarajie wajanja kupiga hela za maafa. Hii nchi ngumu sana.
 
Nchi imefunguka, mama anaupiga mwingi sana.
Asante serikali kwa kutuletea mvua. Wakulima wa mpunga walikuwa wameanza kulalamika kukosa maji. Pia wananchi wasiokuwa na huduma ya maji ya DAWASA leo wamepata maji ya bwerere.

Asante sana Rais Samia, unaupiga mwingi mama yetu. Mungu akubariki na kukutunza.
 
Mtihani kwa serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kuwa na viongozi wabunifu, badala ya kuwaza kuzuia maandamano ya tarehe 24 January 2024
View attachment 2878042
Picha : RC Albert Chalamila mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam


Kingo za mito na vijito vinaweza kabisa kuimarishwa na kuzuia majumba ya wakaazi wa Dar es Salaam kuanguka kutokana na maporomoko ya kingo za mito

Picha ikionesha kingo za mifereji, vijito ilivyoliwa jijini Dar es Salaam na kupelekea makalavati, madaraja kujaa mchanga View attachment 2878040
Wanafunzi wa kitivo cha uhandisi chuo kikuu tajwa kongwe UDSM kwa kushirikiana na halmashauri ya Ubungo TAMISEMI wangeweza kutumia kodi za wananchi vizuri na wanafunzi wa UDSM kujifunza kwa vitendo kujenga kuimarisha kingo za mifereji, vijito na mito ya maji hatimaye majina yao kuingia ktk rekodi kumbukizi tukuka kuwa elimu imewezesha kutatua changamoto katika jamii .

Picha chini toka maktaba ikionesha changamoto endelevu zinazolikabili jiji na pia mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2878039
Wako bize wakiandaa pongezi kwa Samia na CCM.
 
Tuacheni utani bora makao makuu yabaki Dodoma sema wamechelewa kujenga ...Ukitumia akili Dar pale kati ni bondeni kabisa haswa jangwani hata ukiangalia barabara kwa huku magomeni unaona pale ni bondeni kabisa...

Dodoma huwezi kukuta huo ujinga wala mvua kubwa kiasi hiki..


Dar sehemu nyingi ni overrated haswa madalali eti wanauza viwanja bei juu huko Tegera na Madale ni hovyo kabisa
 
Tuacheni utani bora makao makuu yabaki Dodoma sema wamechelewa kujenga ...Ukitumia akili Dar pale kati ni bondeni kabisa haswa jangwani hata ukiangalia barabara kwa huku magomeni unaona pale ni bondeni kabisa...

Dodoma huwezi kukuta huo ujinga wala mvua kubwa kiasi hiki..


Dar sehemu nyingi ni overrated haswa madalali eti wanauza viwanja bei juu huko Tegera na Madale ni hovyo kabisa
Hii la mvua litapita. Dar itabaki na unyama wake.
 
Kuna sehemu mtu umeishi miaka 6 maji hayajawhi kuingia,leo maji hadi yanafunika gari
Hii mvua kali tu kiukweli tusije kulaumu saaana serikali.

Na ukiongeza natural drainage ya dsm ilivyo mbovu, bado makazi yanaiingilia matokeo ndo haya.

Kwa wanaokaa mlandizi mvua kama hio ilipiga wiki moja imepita, upepo mkali hadi unasikia paa linanyanyuka, lkn maafa hayakuwa serious
 
Back
Top Bottom