Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

Yap TANESCO wamekata umeme Bunju! Nimeshangaa walichelewa nini!
Tuendelee kusherekea Uhuru, Mapinduzi na Muungano! Watu wapige hela mpaka zipigike!
Na kushambulia wanaotaka mabadiliko iwe KATIBA, SHERIA ZA UCHAGUZI, HAKI, UWAJIBIKAJI!
Tuwaone hawqpendi AMANI NA UPENDO Kwa viongozi wetu wa ChukuwaChakoMapema!
 
Nchi imefunguka, mama anaupiga mwingi sana.
 
Ila taunami sio mvua.. ni kimbunga cha baharini..!! Unaweza ukawa na jua kali mikoa ya pwani ila taunami ikapiga. Ni mawimbi makubwa yenye nguvu ambayo yanatembea kwa kasi mpaka kutoka kwenye kingo zake na kuvamia nchi kavu...

Tsunami sio kimbunga cha baharini, hurricane ndio kimbunga cha baharini...

Tsunami ni hali ya bahari kuwa na mawimbi makubwa ya maji ambayo hutokea baada ya tetemeko la ardhi chini ya bahari...
 
Kuelea hakutakusaidia cho chote mjukuu. Kitakachokuua ni mabati, mbao na makorokocho mengine yaliyomo humo kwenye maji. Liubao mchongoko likikukita kifuani na kutokeza upande wa pili hata kama unamzidi Michael Phelps katika uogeleaji ni kazi bure! Bado na electrocution kutoka kwenye nyaya zilizoanguka. Kimbia urudi Songea sasa hivi kama unaweza mjukuu! [emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuu kuwezaa?
Jamani najuta bora ningesepaa wallah.

Ila nako pia Songea inanyesha tangu jana usiku had muda huu, lakini sio kwa kiwango cha hapa.

Hii mvua ina jambo na hapa mjini, Co buree Khaaah
 
sasa ndugu nabii hiyo mvua inanyesha au itanyesha usiku?

au ni katika ulimwengu wa Roho maana ndo naingia Misa ya kwanza na ni pakavu sana hapa vikindu 🐒
Vikindu haipo Dar mkuu. Ipo mkoa wa Pwani. Hapa tunaongea kuhusu jiji la Chalamila. Sijui naye Chalamila kakwama wapi mpaka sasa hajatoa tamko lolote. Au amesombwa na mafuriko? Maana ofisi yake pia imejengwa kwenye mkondo wa maji. Anang'ang'ana na usafi kwa kutumia wanajeshi huku wapiga kura wakiendelea kuteswa na mafuriko. Mwezi wa 10 sio mbali; tutakutana kwenye sanduku la kura.
 
Kuna nabii alitabiri, Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu, itafunikwa na maji, kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho. Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu. Ila walio wengi waliposikia unabii huo, walimdhihaki mtoa unabii.

Biblia inasema "msiutweze unabii, bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!
Ovyooo,hizi mvua mwaka 98 zilipiga zaidi ya hizi na huo ujimga unaoo gea wala haukuwepo
 
Mvua imeanza kunyesha tangu usiku wa manane wa jumamosi hadi alfajili ya jumapili. Acha ubishi bi mkubwa. Mvua imeharubu madaraja na makazi ya raia na imeua raia.
Umejichanganya sana ,mvua imenyesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi,leo kiko shwari
 
Mvua huku Dar imesababisha maafa. Imesomba magari, nyumba na mali za raia na kubomoa madaraja. Serikali iingilie kati kurejesha mawasiliano ya barabara kwa kujenga madaraja ya muda.
Hii sio mvua ya jumamosi kuamkia jumapili
 
Back
Top Bottom