Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvua iendelee kunyesha tu, si huwa mnatucheka sisi wa mikoani kuwa tunaishi mashambani?Mkuu hii mvua ya leo ni gharika aisee! Imeleta shida sana kwa wakazi wa jiji hili.
Wapi Tanzania sio slum?Dar ni slum Tu , ule mji haufai kwa watu wengi kuishi , ni maeneo machache sana ambayo yalikuwa designed kuishi watu humo ,tangia enzi za mjerumani
Sasa wabongo mmejazana kama sisimizi humo , lazima hata miundo mbinu izidiwe + poor uban planning ya serikali ya wapumbavu ccm
Kazi mnayo
Roho mbaya hiyoMvua iendelee kunyesha tu, si huwa mnatucheka sisi wa mikoani kuwa tunaishi mashambani?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
TATIANA SORRY SANA PM YANGU HAIFUNGUKI KUPITIA SAFARI BROWSER ILA NIMEONA UMENITUMIA MESEJI PLEASE KAMA HUTOJALIHii mvua hata dodoma imepiga sana toka saa 6 usiku, radi zilikuwa za kutisha mno
Hii mvua kubwa inayonyesha leo haijawahi kutokea. Nimeipa jina la Tundu Lissu.Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
View attachment 2878125
Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho mvua iliponyesha ilingo'a madaraja na kuua watu watatu. Safari hii tujiandae kwa maafa zaidi.
Tuambie mahali ulipo hali ikoje na nini tutarajie baada ya mvua hii.
Pia soma: Mvua ilivyoacha maumivu mmoja adaiwa kufa Dar
UPDATES
*Mawasiliano kati ya Tegeta na Kunduchi yamekatika baada ya daraja la Kunduchi-Mtongani kukatika. Magari, nyumba na mali za raia zimesombwa na maji. Nguzo za umeme zimeanguka na baadhi ya raia wamefariki. Tatizo watu wamejenga karibu na mto kwa kupewa vibali na maofisa ardhi wa Serikali.
*Hadi sasa mvua inaendelea kunyesha baadhi ya maeneo hapa Dar. Serikali itoe tahadhari kwa wananchi na ichukue hatua kukabiliana na mafuriko.
*Serikali inaendelea kufanya tathmini ya uharibifu na hasara iliyojitokeza. Madhara ya mafuriko haya mpaka sasa ni kama unavyoyasikia kutoka kwenye rekodi hapo chini iliyoripotiwa na Radio One Stereo. Katika rekodi hii utamsikia mwananchi akilalamika kupoteza Tsh 5,000,000 ambazo zote zimesombwa na mafuriko. Hakufanikiwa kuokoa hata shilingi moja.
* Nyumba 7, magari na mali za wananchi zimesombwa na maji, mtu mmoja amefariki na madaraja kadhaa yamevunjika na kukata mawasiliano ya barabara.
*Raia mmoja ameokota gari lillilosombwa na mafuriko lakini watu wenye roho mbaya wamemzuia kulichukua.
View attachment 2879043
*Wakandarasi wanaendelea kuzibua barabara zilizozibwa na maji, mawe na magogo ili kurejesha mawasiliano.
Nitaendelea kuwapa updates na picha kadri nitakavyozipata.........
Utapeli tu, hakuna cha unabii wala nini.Kuna nabii alitabiri, Dar kufikia mwezi Mei mwaka huu, itafunikwa na maji, kwamba kuna Tsunami itaipiga Dar.
Huenda hizi mvua ni maonyo ya mwisho. Watu wa Mungu watamuuliza Mungu ukweli wa unabii huu. Ila walio wengi waliposikia unabii huo, walimdhihaki mtoa unabii.
Biblia inasema "msiutweze unabii, bali zipimeni roho kama zimetokana na Mungu au la!
FursaKuna mtu kajiokotea mke kwenye mafuriko
View attachment 2879794
Leo 22/01/2025 naona kuna mvua itanyesha mpaka 30/01/2025 waambieni wa mabondeni waondokeNitaendelea kuwapa updates na picha kadri nitakavyozipata.........