Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Ona hii takataka, mbona mnashindwa nasa au zuia uvamizi wa hao magaidi wanao vamia mikoa ya kusini hapo kila uchwao??
Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.

Mnawaona wengie ni takataka kama usemavyo.

Hivi mngeshinda uchaguzi Tanzania ingekalika kweli?
 
Sawa mimi ni takataka wa jalalani.

Wewe ni mwelevu na una akili kwelikweli.
 
Usengez mwingine huuu.

Kwa hiyo siku hizi mtu akishambuliwa anatakiwa kukamatwa ili akajibu kesi ya kushambuliwa kwake.
Ulimsikiliza Sirro kabla ya kampeni kuanza?

Kuzunguka dunia nzima kutuchafua kwamba tunauana halafu hutaki kutia ushirikiano ni upumbavu

Tunamshika kwa nguvu sasa athibitishe tuhuma zake

Narudia tena mnaofikiri anakamatwa sababu ya uchaguzi labda yaweza kuwa sababu mojawapo lakini sirro alisema atapatikana tu
 
Haya maccm bwana,Kama yanaweza na Yana balls,siyawatwange risasi tujue moja,
 
Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.

Mnawaona wengie ni takataka kama usemavyo.

Hivi mngeshinda uchaguzi Tanzania ingekalika kweli?
Mkuu, ungekaa tu kimya kuficha ujinga wako. Kuna tofauti kati ya kutoa maoni na kubwatuka ujinga, hujishangai kwa nini kila mtu anakuona poyoyo humu?
 
Tatizo lenu mwajiona ni "super humans, super intelligent" mwafahamu kila kitu hamjali wala kuheshimu maoni ya wengine.

Mnawaona wengie ni takataka kama usemavyo.

Hivi mngeshinda uchaguzi Tanzania ingekalika kweli?
Kuna uhusiano gani wa kushinda uchaguzi nchi isikalike na kuambiwa ukweli unapoandika pumba?

Unaonekana mzee sana uliechoka akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…