Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

secondary mbona ni kawaida kuwa kwenye mahusiano labda hayo ya watu wazima
 
Toka zamani tunasoma haya mambo kawaida Sana...
Tena zamani ilikuwa watoto wa primary....wanatembea na Makonda WA daladala na wauza chips
Zamani hakukuwa na awareness na watoto walisoma wakubwa.. sasa hao watu wazima wanao fanya na watoto wa shule hawaogopi mkono wa sheria? Au fedha inaongea
 
Zamani hakukuwa na awareness na watoto walisoma wakubwa.. sasa hao watu wazima wanao fanya na watoto wa shule hawaogopi mkono wa sheria? Au fedha inaongea
Zamani gani hii unazungumzia!?..1990s mabinti wanasema sekondari na Wana mahusiano na watu wazima mitaani,jumapili hawaendi kanisani Misa wanafanya ghetto,tukiwa shule ya msingi madem walikua na mahusiano kitaa na mabro,1995 kurudi nyuma
 
Sio huko tu mkuu,hata huku mikoani hali ni mbaya.Watoto wanazagamuana sana.
 
Sahii [emoji419] ata guest houses ukiwauliza watoto na ata Mimi mwenyewe nilikua na jua ni maalumu Kwa kugegedana tu.

Mwalimu wetu mmoja alituuliza hao watu wazamani walikuwa hawatumii simu kama nyinyi Sasa hivi lakini mbona walikuwa wanapataujauzito? Hapo ni kweli kabisa tatizo ni akili inayoandaliwa na jamii juu ya kizazi hisika
 
Zamani gani hii unazungumzia!?..1990s mabinti wanasema sekondari na Wana mahusiano na watu wazima mitaani,jumapili hawaendi kanisani Misa wanafanya ghetto,tukiwa shule ya msingi madem walikua na mahusiano kitaa na mabro,1995 kurudi nyuma
Yes miaka ya tisini madenti walikuwaga wakubwa halafu sheria ya ubakaji ililetwa mwaka 98
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…