uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Kamtunuku papa sasa.Yaani Lissu muonekano wake tuu unaonesha Tanzania ijayo yenye Furaha Upendo na Matumaini.
Yaani uongozi unamtaka yeye zaidi kuliko yeye kuutaka uongozi. Ni watu wachache sana huzaliwa na Mvuto wa namna ya Lissu.
Mung awabariki Mabeberu kwa kumtibu Rais wetu mpendwa.
Kesho ndo watajua Mataga kuwa hawajui.
Hili suala siyo la kulitumia kama kete ya kisiasa.
Hapa LISSU na CHADEMA wanajiingiza kwenye mgogoro mkubwa sana hapo baadaye kama watashinda.
Kumbukeni suala la mahakama ya kazi lilivyo muingiza Kikwete Ikulu na likaja kumletea shida Sana akiwa madarakani kiasi Cha serikali yake kuwaingiza rumande viongozi wa wanaodai mahakama ya Kashi kibabe.
Kila sehemu unacomment umaku umaku halafu ni mwanamke inasikitisha mwanamke kukoment umaku umaku
Mungu siyo AmsterdamMungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Tundu Antipas Mughwai Lissu! Kesho nampigia #Yeye, nampigia mbunge wangu Rebeka, na ili kuonesha msisitizo kwenye diet ya kesho, lazima mlenda uwepo!
Mungu siyo Amsterdam.Eeh Mwenyez Mungu sikia maombi ya watanzania[emoji120]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Hivi ww unaamini kabisa Magufuli alimuomba Mungu wa kweli kuponya Corona? Inaonekana hujui politics wewe.Mungu siyo Amsterdam.
Maana ulimkejeli wakati wa maombi ya corona
.Ushoga hata serikali inauhimili. Nakumbuka Makonda alipoukomalia serikali ilimruka.View attachment 1613701
.Ushoga hata serikali inauhimili. Nakumbuka Makonda alipoukomalia serikali ilimruka.View attachment 1613701
At least uzi wa Lissu uko live. CCM hata You tube hawaonekani. CCM walikuwa wakitoka live hata wakiwa Kigoma... Leo inakuwaje wanashindwa toka Dodoma..!? Unlike CCM, CDM kampeni zao nyingi hazikuwa live most of the time.Lisu yuko Live JF?
Pia siyo Magu, yesu wenu wa lugola, mnaye msifu kuwa aliponya corona akiwa Burigi!Mungu siyo Amsterdam
Naona ulihudhuria!!MVUA NYESHAAA NYESHAAAAAAA NYESHAAAAAAAAA NYESHAAAAAAAAAA
Kwa hiyo zile karatasi za zamani wamezichoma ,wamechapisha zingine?WAMESTUKA WAMEBADILISHA JINA LA RAIS LISSU WAMELIWEKA KATIKATI
Mimi na wazalendo wenzangu 🙂Wew na Nani🤔🤔🤔
Weka bundle wewe acha ubahili Mimi Niko naongea na mtu Marekani muda huu
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu mbariki Tundu Lismagufuli
CHADEMA CHADEMA....peoples' power
Tanzania Tanzania ...peoples' power