Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Yaani Lissu muonekano wake tuu unaonesha Tanzania ijayo yenye Furaha Upendo na Matumaini.
Yaani uongozi unamtaka yeye zaidi kuliko yeye kuutaka uongozi. Ni watu wachache sana huzaliwa na Mvuto wa namna ya Lissu.
Mung awabariki Mabeberu kwa kumtibu Rais wetu mpendwa.
Kesho ndo watajua Mataga kuwa hawajui.
Kamtunuku papa sasa.
 
Hili suala siyo la kulitumia kama kete ya kisiasa.
Hapa LISSU na CHADEMA wanajiingiza kwenye mgogoro mkubwa sana hapo baadaye kama watashinda.

Kumbukeni suala la mahakama ya kazi lilivyo muingiza Kikwete Ikulu na likaja kumletea shida Sana akiwa madarakani kiasi Cha serikali yake kuwaingiza rumande viongozi wa wanaodai mahakama ya Kashi kibabe.

..Watu 400 kuuwawa siyo mgogoro huo tayari?

..Tusipokaa chini na kuchambua nini kilisababisha watu hao wakauwawa tunakaribisha uwezekano wa wengi wengine kuuwawa.

..Pia waliopoteza ndugu zao wana haki ya kuambiwa nini kiliwatokea ndugu zao.
 
Kila sehemu unacomment umaku umaku halafu ni mwanamke inasikitisha mwanamke kukoment umaku umaku

Ndio mimi ni mwanamke kama mamako na mkeo na dadazako..... Sasa wewe ulitaka nicoment unini nini??

Halafu usipende kupatukana ulipotokea wakati wa kuzaliwa na unapopenda kupatumia ukiwa na mkeo.

Vinginevyo uniambie kama wewe uko rasmi kwenye zile faraghadume
 
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Tundu Antipas Mughwai Lissu! Kesho nampigia #Yeye, nampigia mbunge wangu Rebeka, na ili kuonesha msisitizo kwenye diet ya kesho, lazima mlenda uwepo!
Mungu siyo Amsterdam
 
Mungu siyo Amsterdam.

Maana ulimkejeli wakati wa maombi ya corona
Hivi ww unaamini kabisa Magufuli alimuomba Mungu wa kweli kuponya Corona? Inaonekana hujui politics wewe.

Yule mzee amezindikwa na majini kila kona kma Mungu akishuka kweli sidhani kma angekua hai mpaka leo.

Acheni kumchezea Mungu kwenye siasa zenu.
 
Ushoga hata serikali inauhimili. Nakumbuka Makonda alipoukomalia serikali ilimruka.View attachment 1613701
.
FB_IMG_1603798480510.jpg
 
Lisu yuko Live JF?
At least uzi wa Lissu uko live. CCM hata You tube hawaonekani. CCM walikuwa wakitoka live hata wakiwa Kigoma... Leo inakuwaje wanashindwa toka Dodoma..!? Unlike CCM, CDM kampeni zao nyingi hazikuwa live most of the time.
 
Ww hata ukivua hakuna wa kutamani hiyo mifupa, mbunye yenyewe full harufu itaishia kuzungukwa tu na nzi.
Mkuu tindo sikutegemea ungetumia maneno hayo maana umemtukana na mama yako mzazi, hata mkeo, kama umeoa
 
Mie saa 11 asubuhi niko polling station kumuadhibu Lissu, napiga kura ya kumkataa sababu kubwa ni moja tu, ni kibaraka wa wazungu, kesho ndio mwisho wa ubaraka wake.. Mimi nilikaa kimyaa kusubiri siku ya kesho tu
 
Back
Top Bottom