Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Ukiskiza Wasafi FM yupo Diamond anampigia Magu kampeni [emoji23][emoji23] daah mpaka aibu wasee, Yaani kipindi cha The Switch kimekua cha promo za CCM kutoka kwa Diamond!

Hiki chama cha mbogamboga safari hii kimeshikwa pabaya sana na TAL, Yaani vyombo vyote vinapigana kwa ajili ya mtu mmoja tu..
 
Mbona mpiga picha anaogopa kuweka kwa chini au watu mnawatafuta kwa helkopta?
 
Jamani hali ya hewa ni mbaya sana leo, so mshaurini Lissu asisafiri kwa helikopta kwani ni hatari sana kwa usalama wake. Thank me later!
 
Back
Top Bottom