Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Nasema hivi jiwe alikuwa mtu muovu hawezi kwenda huko mbinguni, hizo sakraamenti unazijua ww. Hakuna mbingu ya watu waovu, labda akakae kwenye mji wa sakramenti.
Pengine wewe si mkatoliki hivyo sio rahisi kuelewa umuhimu wa huduma na mwisho na namna binadamu anaeza ponyoka Moto hata sekunde ya mwisho kabisa. Habari za mbinguni si mambo ya CCM na Chadema
 
Acheni kulaumu kila kitu, hii ilikuwa ibada fupi. Askofu Ruaichi yupo uwanjani, ataongoza ibada ya uwanja wa taifa.
 
Kwani kumuaga marehemu ni ishara ya kumpenda? Badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…