Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Teh teh wakati kazi hiyo ni ya masaa kadhaa tu kuiwekaUnafunga njia siku 7 kisa unaweka nembo?! Wajinga sana Makandarasi wetu hapo kinachoendelea ni wizi tu nembo inaweza kuwekwa usiku na asubuhi njia ikawa wazi. Ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
Tumerogwa na alieturoga kafa! Si wangefunga saa nne usiku hadi saa 12 asubuhi wafanye kazi hayo masaa nane kila siku ?Unafunga njia siku 7 kisa unaweka nembo?! Wajinga sana Makandarasi wetu hapo kinachoendelea ni wizi tu nembo inaweza kuwekwa usiku na asubuhi njia ikawa wazi. Ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
Shangaa na wewe. Huu upuuzi sana.Tumerogwa na alieturoga kafa! Si wangefunga saa nne usiku hadi saa 12 asubuhi wafanye kazi hayo masaa nane kila siku ?
Kuwa na wazee kwenye nafasi za maamuzi ni tatizo litakalo isumbua sana nchi hii.Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
View attachment 2465081
Tumerogwa na alieturoga kafa! Si wangefunga saa nne usiku hadi saa 12 asubuhi wafanye kazi hayo masaa nane kila siku ?
FakeWakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
View attachment 2465081
Kwann hamkuweka hyo nembo wakat wa ujenz mnakuja sasa hiv kuleta usumbufu ambao hatuna tija?Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
View attachment 2465081
Inabadilishwa. Ulikuwa ni mwenge sasa wanaweka kitu kama tanzaniteKwann hamkuweka hyo nembo wakat wa ujenz mnakuja sasa hiv kuleta usumbufu ambao hatuna tija?
Kwingineko duniani wachina waliwahi kubadili daraja lenye traffic ya magari 200,000 linalounga Beijing na route nyingi pale mjini ndani ya masaa 36. Kwa bongo huu ni mda unaohitajika kuhamisha faili kutoka meza moja kwenda kwa kiongozi ofisi ya juuTumerogwa na alieturoga kafa! Si wangefunga saa nne usiku hadi saa 12 asubuhi wafanye kazi hayo masaa nane kila siku ?
Nchi ngumu hiiTeh teh wakati kazi hiyo ni ya masaa kadhaa tu kuiweka
Ova