Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

Huku daraja lilishawahi kufungwaga tena huko nyuma Kwa ajili ya matengenezo.
Inamaanq mkandarasi alilipua ? Tuwe serious kidogo hata kama limejengwa Kwa msaada
 
Tuliaminishwa na wapingaji kuwa lile daraja sio muhimu.sasa mbona mnataabika kufungwa kwake
Binafsi sijawahi kulipinga kabisa... hata waliokuwa wanapinga nilikuwa nawashangaa sana. Anyways, ndio linatumika, kitendo cha kulifunga wakati huu kisa tu Rais hakupenda ule mwenge pale juu, ni kupoteza muda wetu.
 
Nimeshangaa kwanini wasingeanza tar 20 mpaka 30... watu walikuwa washaanza mapumziko ya mwisho wa mwaka... sasa wanarudi ndio na wenyewe wanafunga daraja. Very stupid

Hahaha kwani wao hawana mapumziko huo muda mlio na mapumziko? Hata wao wanataka kwenda Moshi pia, …
 
Tunashukuru Tanroads kwa taarifa kuwa mtatumua siku ya tarehe 2 hadi 9 January 2023 kuweka nembo au alama ya Tanzanite pale daraja la Tanzanite. Natanguliza pole kwakua naamini ni kazi nzito itayogharimu ziku 7 huku barabara ikiwa imefungwa. Tunang9ja kuiona iyo nembo itayogharimu siku 7 kuweka. Happy new year 2023.
 
Polepole ndiyo mwendo! Haraka haraka haina baraka! Vinginevyo, ulete hoja yenye mashiko ya kupinga misemo hii ya kiswahili
 
Daah Nchi hii kiboko...Tanzania sijui ugali huu ni sumu ya Ubongo hata sielewi pana maamuzi hata hawa watoto nikiwaangalia hawawezi kuamua ila unaona watu wazima kabisa wanaamua...
 
Huu ni upumbavu wa aina yake, yaani wiki nzima watu wateseke na foleni ili kuweka nembo??!!!
 
Daah Nchi hii kiboko...Tanzania sijui ugali huu ni sumu ya Ubongo hata sielewi pana maamuzi hata hawa watoto nikiwaangalia hawawezi kuamua ila unaona watu wazima kabisa wanaamua...

Ugali, maharage, kitimoto, mnazi, ulanzi, kayoga, wanzuki, gongo, taarabu, michiriku, vibao kata, kukeketwa, rushwa, wizi wa mali ya umma, ngono zembe, kutojali muda kwa walio wengi, unafiki, kutokupenda kufanya mazoezi, ( jamii yenye hayo mambo hua wanaishi kama wehu si msomi na asiekua msomi)
 
Nchi ambayo haiwazi kukimbia kimaendeleo kamwe haiwezi kujali muda wao, kwanza unakutana na mtu asubuhi anasema naenda kijiweni kupoteza muda, jamii ya namna hii kamwe haiwezi kustuka, kwamba iko nyuma
 
Jamii ambayo unazaliwa unakuta binadamu analala na kuku, bata, mbuzi, ng’ombe chumba kimoja hapo kupata watu bright ni kazi hata kiongozi akitokea huko hawezi kua na ubunifu,
 
Back
Top Bottom