Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wananakshinakshi urembo!Harakaharaka haina baraka mwagito.๐๐๐๐Kiukweli kuna mambo heri mtu ukae kimya tu
Yaani kuweka nembo ya Tanzanite pale darajani ni kazi ya Siku 8?
Heri ya Mwaka Mpya Daudi Mchambuzi!
Rip MfugaleWananakshinakshi urembo!Harakaharaka haina baraka mwagito.๐๐๐๐
Ni kana kwamba tumerogwa!Nimeshangaa kwanini wasingeanza tar 20 mpaka 30... watu walikuwa washaanza mapumziko ya mwisho wa mwaka... sasa wanarudi ndio na wenyewe wanafunga daraja. Very stupid
Tuliaminishwa na wapingaji kuwa lile daraja sio muhimu.sasa mbona mnataabika kufungwa kwakeNimeshangaa kwanini wasingeanza tar 20 mpaka 30... watu walikuwa washaanza mapumziko ya mwisho wa mwaka... sasa wanarudi ndio na wenyewe wanafunga daraja. Very stupid
Bwashee tulishasahau foleniTuliaminishwa na wapingaji kuwa lile daraja sio muhimu.sasa mbona mnataabika kufungwa kwake
Binafsi sijawahi kulipinga kabisa... hata waliokuwa wanapinga nilikuwa nawashangaa sana. Anyways, ndio linatumika, kitendo cha kulifunga wakati huu kisa tu Rais hakupenda ule mwenge pale juu, ni kupoteza muda wetu.Tuliaminishwa na wapingaji kuwa lile daraja sio muhimu.sasa mbona mnataabika kufungwa kwake
Nimeshangaa kwanini wasingeanza tar 20 mpaka 30... watu walikuwa washaanza mapumziko ya mwisho wa mwaka... sasa wanarudi ndio na wenyewe wanafunga daraja. Very stupid
Polepole ndiyo mwendo! Haraka haraka haina baraka! Vinginevyo, ulete hoja yenye mashiko ya kupinga misemo hii ya kiswahiliTunashukuru Tanroads kwa taarifa kuwa mtatumua siku ya tarehe 2 hadi 9 January 2023 kuweka nembo au alama ya Tanzanite pale daraja la Tanzanite. Natanguliza pole kwakua naamini ni kazi nzito itayogharimu ziku 7 huku barabara ikiwa imefungwa. Tunang9ja kuiona iyo nembo itayogharimu siku 7 kuweka. Happy new year 2023.
Hiyo nembo mmeiona ipoje kiasi mshuku kuwa siku ni nyingi za kufanya kazi hiyo?Njia za kuiba kodi za walala hoi
Hapo kuweka nembo tu
Nilipoona siku hizo zote nikasema linavuja
Tutarajie likivuja linavungwa mwaka mzima
Daah Nchi hii kiboko...Tanzania sijui ugali huu ni sumu ya Ubongo hata sielewi pana maamuzi hata hawa watoto nikiwaangalia hawawezi kuamua ila unaona watu wazima kabisa wanaamua...