FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sio msaada, ni mkopo na tumeshaanza kulipaHuku daraja lilishawahi kufungwaga tena huko nyuma Kwa ajili ya matengenezo.
Inamaanq mkandarasi alilipua ? Tuwe serious kidogo hata kama limejengwa Kwa msaada
Tanzania hawafanyi kazi usiku kuepuka wiziTumerogwa na alieturoga kafa! Si wangefunga saa nne usiku hadi saa 12 asubuhi wafanye kazi hayo masaa nane kila siku ?
Umekariri? Sgr,mwendokasi phase 2 hadi usiku wapo. Kuna daraja lilikatika kule dodoma walifanyakazi masaa 24 wiki nzima.Tanzania hawafanyi kazi usiku kuepuka wizi
Upo sahihi unakuta kiongozi anachukia waliofanikiwa bila sababu...Jamii ambayo unazaliwa unakuta binadamu analala na kuku, bata, mbuzi, ng’ombe chumba kimoja hapo kupata watu bright ni kazi hata kiongozi akitokea huko hawezi kua na ubunifu,
Na msisahau kutuambia gharama za nembo piaWakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
View attachment 2465081
Hii nchi watu wengi wanatumia vichwa vyao kufugia nywele, na sababu kichwa kimebeba macho, mdomo na pia basi kuona, kula na kupumua.Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
View attachment 2465081
Japan ilitokea sinkhole barabarani ila walijenga kwa siku mbili tu na baada ya wiki barabara ikawa inapitika na ilivunja recordHiyo nembo mmeiona ipoje kiasi mshuku kuwa siku ni nyingi za kufanya kazi hiyo?
Ni kweli kimtazamo Japan na Tanzania ni nchi huru zenye hadhi sawa mbele ya mkutano wa UNGA( United Nations General Assembly), lakini nchi hizi ni tofauti sana kiteknolojia na kiuchumi.Hiyo nembo hata iwe kubwa kama daraja lenyewe ndio iwe siku hizo rubbish
Ni kweli mkuu wanatuzidi hata kiakili pia ila tujitahidi sana na kuongeza bidiiNi kweli kimtazamo Japan na Tanzania ni nchi huru zenye hadhi sawa mbele ya mkutano wa UNGA( United Nations General Assembly), lakini nchi hizi ni tofauti sana kiteknolojia na kiuchumi.
Kwa hiyo, objectivity kwenye hili haikwepeki. Asante.
Alafu hilo nembo litazinduliwa na sherehe+tamasha la wasanii kuwepoKiukweli kuna mambo heri mtu ukae kimya tu
Yaani kuweka nembo ya Tanzanite pale darajani ni kazi ya Siku 8?
Heri ya Mwaka Mpya Daudi Mchambuzi!
Wakishamaliza kuweka nemboHuu ni upumbavu wa aina yake, yaani wiki nzima watu wateseke na foleni ili kuweka nembo??!!!
Tz hapo wangetumia mwaka 1 kujengaJapan ilitokea sinkhole barabarani ila walijenga kwa siku mbili tu na baada ya wiki barabara ikawa inapitika na ilivunja record
Hiyo nembo hata iwe kubwa kama daraja lenyewe ndio iwe siku hizo rubbish View attachment 2466463
Au lingefungwa indefinitely, hahaTz hapo wangetumia mwaka 1 kujenga
Ova
Wala hujakosea aliye waroga kafa yaani Mwl.JK mwisho malizia.Wachukue ushauri wako haraka Sana.