Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

Nchi hii yetu Tanzania kuna kitu gani kinaendelea majanga ya asili yanaikumba sana taifa letu, au tatizo ni chama cha Lumumba wanakumbushwa kuwa kuna nguvu nyingine kubwa kuliko chama-dola kandamizi hivyo wajirudi na kutenda haki kwa wote kisiasa, kidemokrasia, kijamii na kiuchumi.
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa na utabiri wake Machi 2, 2020 kuekelea masaa 24

​

Source: Meteo Tanzania
 
Dah! nchi ngumu hii hatari. eti "ng'wiiiiiii ng'wiiiiiiiiii". Yaani nimecheka hatari.
 
Ndege zetu sasa ndiyo muda wake kufanya kazi ya kuwasaidia abiria

In God we Trust
 
Daraja hilo la awamu ya nne, awamu ya tano hakuna vitu kama hivyo.

Kwani wachina wameshaondoka?! Muwaite wajenge, daraja kitu gani?!
Inawezekana tu

In God we Trust
 
Kwani Dar lux wana bus moja tu?

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…