Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

Mkuu pole, nenda pale bungeni upumzike kidogo hadi waunganishe daraja
 
Istoshe wenye magari mnajua safari ndefu Kama hizo huwa mnabeba fedha na vifaa kwa ajiri ya dharula.

Kwa hiyo bila shaka umejiandaa.

Safari njema chief na pole kwa usumbufu hakuna wa kulaumiwa labda Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siyo daraja (bridge).
Ni kalavati (culvert)
 
Porini huo mto utauvukaje bwashee? Au unamaanisha waweke Pantoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
kule Korea kaskazini tulizoea maonyesho ya kijeshi msimuliaji akieleza kuna magari ya kujenga madaraja ya dharula hasa baada ya majanga kama haya au adui kubomoa madaraja.

kwamba kifalu kinasimama ng'ambo hii na kingine ng'ambo ile vinakutanisha ndimi magari na zana zinaserereka. kwaio hapa furaha yangu ni kugeuza lile onesho kuwa halisi. maana vijana Kim Jong Un wameiva katika mafunzo na vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvua haijaletwa na serikali[emoji34][emoji34][emoji34]ko wanachi pambaneni na ujenzi wa daraja hilo!Kama mnashindwa PIGENI MBIZI[emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Active add this to the title of the post>>#BREAKINGNEWS:Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Loatha Ole Sanare ametangaza kufungwa kwa barabara ya Dodoma-Morogoro kutokana na kukatika kwa daraja la Kiyegeya.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata asingeifunga bado magari yasingepita. Nilitegemea aje na stop gape measure almaaruf plan B.
 
Kama huishi kwa mabeberu basi umesoma kwao. Binafsi nilitaka kuandika kama hivi.Ni ajabu tangazo la jambo kubwa kama hili kuandikwa bila details ulizoainisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…