Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

Madawa ya kulevya ni hot topic katika miaka hii. Hasa kwa kundi la vijana, serikali itusaidie idara nyeti kama ile ya usalama wa taifa inahitajika kukabiliana na hili janga
 
Now, you sister... You know addiction.
Afadhali, for once, mtu anaye elewa.

Naongezea tu:
Sababu pekee ya hivyo vingine havionekani vina madhara ni kwa sababu tu havipo restricted.

Its very tricky to save someone who's already there. Its 'close' to impossible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza ni namna gani mtu hushawishiwa hadi aingie kwenye matumizi ya Unga nakosa jibu.

Darasa walisema kitambo sana kuhusu matumizi ya unga na sasa imekuwa.
 
Jamaa gani mkuu hebu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu wafungue hao watu
Tuwaingize kwenye maombi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
true
 
Kama chidi benzi na limwili lote lile kabaki kichwa tu sasa uyu Mzee baba sijui itakuwaje...eeeh mnyazi Mungu tunusuru Vijana wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Hiyo addiction ya sex hebu ipambanue kidogo tusije jikuta na sisi tumeathirika.mfano wengine hawawezi kulala bila kusex...hapo vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…