Swali wako wapi Dart wenyewe waje wasemeNiseme tu huduma imewashinda! Mabasi ni machache! Tafuteni Mbia wa kuendesha naye hiyo Huduma.
Usafiri wa Kutoka Kariakoo/Kivukoni-Kimara,Mbezi ni shida nyakati za Jioni ni shida.
Usafiri wa kutoka Mbezi-Kivukoni/Kariakoo,Kimara-Kariakoo/Kivukoni ni shida wakati wa asubuhi.
DART Mwendokasi hivi ni kwanini hiyo ruti ya mbagala haikamiliki na kuanza kazi? Maana kwa mwaka 2022 ilipofika msimu wa sabasaba mlianzisha safari lengo ilikua kupeleka watu sabsaba , na mwaka huu pia mkaleta mbwembwe zilezile msimu wa sabasaba, msimu ukiisha kimyaHakuna taarifa iliyoeleza kuwa usafiri utaanza mwezi huu wa kumi isipokuwa kulikuwa na taarifa za mradi kukabidhiwa serikalini baada ya mkandarasi kumaliza ujenzi.
Hawapendi kukosolewa, wanapenda kusifiwa tu.Hivi ulikuja hapa kutuchora?
Hujibu maswali, unajibu moja unapotea na mengine una yaache.
Tabia ya kibongo ina udhi sana
Kukamilika kwa ruti kuna maanisha , mosi barabara na miundombinu mingine iwe imekamilika kwa asilimia mia moja na kukabidhiwa, hii inajumuisha pia vituo taa za kuongozea magari, taa za barabarani vituo mlishi n.k. , sambamba na hilo awe amepatikana mtoa huduma mwenye uwezo wa kuwa na idadi ya Mabasi yaliyokusudiwa, kwa upande wa Mbagala mtoa huduma huyo atatakiwa kuwa na na uwezo wa kuleta Mabasi 750 kwa wakati mmoja,. Kwa sasa serikali iko kwenye hatua za kukamilisha upatikanaji wa mtoa huduma huyo na muda sio mrefu tutawapa mrejesho wa kinachoendelea.DART Mwendokasi hivi ni kwanini hiyo ruti ya mbagala haikamiliki na kuanza kazi? Maana kwa mwaka 2022 ilipofika msimu wa sabasaba mlianzisha safari lengo ilikua kupeleka watu sabsaba , na mwaka huu pia mkaleta mbwembwe zilezile msimu wa sabasaba, msimu ukiisha kimya
Kwanini hii ruti haikamiliki?
Wazee wa poor planning, mabasi 750 halafu yawe yanalala ziwa jangwani?Kukamilika kwa ruti kuna maanisha , mosi barabara na miundombinu mingine iwe imekamilika kwa asilimia mia moja na kukabidhiwa, hii inajumuisha pia vituo taa za kuongozea magari, taa za barabarani vituo mlishi n.k. , sambamba na hilo awe amepatikana mtoa huduma mwenye uwezo wa kuwa na idadi ya Mabasi yaliyokusudiwa, kwa upande wa Mbagala mtoa huduma huyo atatakiwa kuwa na na uwezo wa kuleta Mabasi 750 kwa wakati mmoja,. Kwa sasa serikali iko kwenye hatua za kukamilisha upatikanaji wa mtoa huduma huyo na muda sio mrefu tutawapa mrejesho wa kinachoendelea.
Mabasi 750 ila yanayoingia mzigoni 50 ayo mia700 yanabaki ktk karatasiKukamilika kwa ruti kuna maanisha , mosi barabara na miundombinu mingine iwe imekamilika kwa asilimia mia moja na kukabidhiwa, hii inajumuisha pia vituo taa za kuongozea magari, taa za barabarani vituo mlishi n.k. , sambamba na hilo awe amepatikana mtoa huduma mwenye uwezo wa kuwa na idadi ya Mabasi yaliyokusudiwa, kwa upande wa Mbagala mtoa huduma huyo atatakiwa kuwa na na uwezo wa kuleta Mabasi 750 kwa wakati mmoja,. Kwa sasa serikali iko kwenye hatua za kukamilisha upatikanaji wa mtoa huduma huyo na muda sio mrefu tutawapa mrejesho wa kinachoendelea.
Uchache wa Mabasi ndio unasababisha adha hii ,lakini maelekezo ya serikali ni kutafuta mtoa huduma mwingine ambaye atashindana na huyu wa sasa ili kuboresha huduma, maelekezo hayo yanafanyiwa kazi na baada ya muda mfupi mtaona matokeo.DART kubalini mmeshindwa kutoa huduma za usafirishaji kwa sababu watu wanasubiri basi kituoni saa 2. Mnaleta basi 1 kila baada ya saa 2 abiria wamechanganyikiwa wameshachelewa kazini wanataka kuvunjana miguu mlangoni na wanaingia bila kukaguliwa ticket mnakosa mapato kwa sababu ya ujinga wenu. Abiria wanagombania mwendokasi utafikiri wako Mbagala kwenye daladala. Hebu jirekebisheni au kama mmeshindwa kutoa huduma tafuteni mtoa huduma mwingine anayejiweza.
Hiki unachoongelea kipo katika utekelezaji wa muda gani nikimaanisha timeframe.Uchache wa Mabasi ndio unasababisha adha hii ,lakini maelekezo ya serikali ni kutafuta mtoa huduma mwingine ambaye atashindana na huyu wa sasa ili kuboresha huduma, maelekezo hayo yanafanyiwa kazi na baada ya muda mfupi mtaona matokeo.
kutokujua mambo unaonekana hamna kitu kichwani depot ya mabasi ya mbagala ipo mbagala huko huko haiusiani na jangwani mabasi yatalala mbagala kingine cha kukusaidia soma ujue kati ya DART na UDART kuna tofauti ganiWazee wa poor planning, mabasi 750 halafu yawe yanalala ziwa jangwani?
Nyinyi Dart na serikali wote majipu
msafirishaji ni UDART , DART hana hata mabasi ni msimamizi wa mtoa huduma kwa niaba ya serikali sema mambo yanakua magumu pale ambapo unakuta anaemsimamia mwenye mabasi pia ni kampuni ya serikali kwa asilimia 85 kumtoa kutafuta mtoa huduma mwingne inakua ngumu labda kumuongezea mtoa huduma mwendokasi kuendesha ni ngumu sana kuliko mnavyofikiria mapato yanaenda world bank kulipa mkopo private sector ikitaka kuweka mabasi yake kwenye barabari za BRT ni ngumu sababu atabaki hana kitu.DART kubalini mmeshindwa kutoa huduma za usafirishaji kwa sababu watu wanasubiri basi kituoni saa 2. Mnaleta basi 1 kila baada ya saa 2 abiria wamechanganyikiwa wameshachelewa kazini wanataka kuvunjana miguu mlangoni na wanaingia bila kukaguliwa ticket mnakosa mapato kwa sababu ya ujinga wenu. Abiria wanagombania mwendokasi utafikiri wako Mbagala kwenye daladala. Hebu jirekebisheni au kama mmeshindwa kutoa huduma tafuteni mtoa huduma mwingine anayejiweza.
Maelezo mazuri, maelezo hayo mazuri yametatua kero gani mpaka sasa mkuu kwa wananchi?kutokujua mambo unaonekana hamna kitu kichwani depot ya mabasi ya mbagala ipo mbagala huko huko haiusiani na jangwani mabasi yatalala mbagala kingine cha kukusaidia soma ujue kati ya DART na UDART kuna tofauti gani
DART hamiliki mabasi ni mmiliki wa miundombinu sema anafelishwa na mtoa huduma, UDART akifeli mabasi yakiharibika lawama zote kwa DART sababu ni wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka
kingne DART kumuwajibisha UDART ambae ni mtoa huduma pia inakuwa ngumu ingawa ndio kampa mkataba wa kutoa huduma za mabasi sababu ni kampuni ya serikali asilimia 85 ya share zote ni za msajili wa hazina apo mambo yanakua magumu serikali kumuwajibisha serikali