Utawaonea mkuu kama maboss wao tuHivi mnafurahi wananchi tunavyokaa kituo Cha mwendokasi saa Moja Hadi saa mbili na nusu asubuhi kusubiri basi la mwendokasi. Hii Tanzania ni nchi ya hovyo kabisa . Mradi mdogo hivi unawashinda? Siku tutakamata mfanyakazi wenu mmoja tumpige tumvunje mguu ndipo mtakuwa na akili.
Tupo kila siku mkuu na kwenye nyuzi nyingi huko juu tumeshaelezea ni lini hasa watanzania wataanza kuonja mafanikio ya serikali yao na kusahau machungu, endelea kutufuatilia kwa karibu pia katika mitandao yetu ya kijamii, facebook,instagram, (X) na linkedlin kwa anuani ya @DARTMwendokasi, kwenye Youtube @DARTTV na pia tuna namba ya bure 0800110147 karibu sana.
Mkuu haya majitu hayajitambui! Hizi kazi zinatakiwa ziwe wazi kwa Afrika Mashariki yote ili Wakenya wachukue nafasi zao!Hivi mnafurahi wananchi tunavyokaa kituo Cha mwendokasi saa Moja Hadi saa mbili na nusu asubuhi kusubiri basi la mwendokasi. Hii Tanzania ni nchi ya hovyo kabisa . Mradi mdogo hivi unawashinda? Siku tutakamata mfanyakazi wenu mmoja tumpige tumvunje mguu ndipo mtakuwa na akili.
Hayo mabus yataoza mpaka hivyo vingine vikamilike.Hatari sana
View attachment 3461135
Jul 24 niliwapa ushauri huuHayo mabus yataoza mpaka hivyo vingine vikamilike.
Sijui wanawaza nini pumbavu hawa
hapa safi -- muwe mshajipanga sasa huku nyumbani
maandalizi ya mapema ili yakifika yaanze kazi kwa haraka
kila kitu kiko sawa maandalizi yamekamilika na watu wetu wa operesheni wamejipanga vilivyo kuhakikisha mambo yanakuwa sawa.
Sasa leo wanasema hamna kilichokamilika.Jul 24 niliwapa ushauri huu
Jul 28 wakajibu hivi
MAjibu ni vitendo sio maneno maneno,
Leo imepigwa until further notice
hawa watu ushauri wanapewa , maoni wanapewa na wao uhalisia wanauona na utaalamu walionao lakini bado wanakua wazito,Sasa leo wanasema hamna kilichokamilika.
Hilo kurugenzi ni wale maprofesa vitambi tu. Kula vitumbua na maharage kuhonga ndo kazi nyepesi kwao.
Angalia huo upuuzi sasa, mabasi yamefika yako garage.
Abiria wapo wanangoja huduma.