Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu.
Wasimamizi wa Mabasi ya Mwendokasi Kimara hawajali abiria, wanawapuuza kama sio binadamu
Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili. Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria. Vituo vya DART Mwendokasi...