Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Pale kigogo sambusa hapasomeki mpaka keshoOktoba hii tunakabidhiwa miundombinu ikiwa imekamilika kabisa, baada ya hapo utasikia kutoka kwetu kuwa ni lini tutaanza huduma endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ikiwemo JF.
Mabasi ni machache,watu wa nakaa vituoni zaidi ya Masaa ma3 Mabasi mengi mabovu, wahudumu wanaochana tiketi wakati mwingine hawazichani zinarudi kuuzwa tena, wakata tiketi kubaki na 50 50 za abiria kisingizio hawana change . Kiufupi huduma ni mbovu kwa 80% Bora daladala za Mbezi posta na mbezi Kariakoo via Morogoro road ziruhusiwe kuweka ushindaniView attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Takukuru wachunguzeni wakata tiketi wa dart, wanakula RUSHWA.. potelea pote, siwezi kutoa elfu tano useme huna chenchi huo ni wizi
Mabasi ni machache,watu wa nakaa vituoni zaidi ya Masaa ma3 Mabasi mengi mabovu, wahudumu wanaochana tiketi wakati mwingine hawazichani zinarudi kuuzwa tena, wakata tiketi kubaki na 50 50 za abiria kisingizio hawana change . Kiufupi huduma ni mbovu kwa 80% Bora daladala za Mbezi posta na mbezi Kariakoo via Morogoro road ziruhusiwe kuweka ushindani
Vituo vya katikati kuanzia maeneo ya Bucha , Baruti hadi Kibo abilia wanapata taabu sana. mabasi yakitoka huko yanakoanzia yanakuwa yamejaa sana. nashauri baada ya dakika zisizozidi 15 gari angalau 1 tu ianzie Bucha ili kusaidia abiria wa hivyo vituo kuwahi makazini.View attachment 2625074