DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Mheshimiwa kila akitokea kwenye media watu lazima wakalale na viatu kitandani
 
Mzee kasema;
"Ukiharibu hapo,unaharibikia hapo hapo" 😂 😂 😂 😂
 
Mumshauri sasa aviondoe na hivyo vyeo visivyo na umuhimu wowote kiasi cha kuwafanya hao wateule kutumia muda wao mwingi kutongoza 'wake' za watu/wakubwa.
 
Anataka amvunjie na ndoa.
 
(DAS) ni District Administrative Secretary.
Yaani Katibu Tawala wa Wilaya.

Kule kuna Jokate jamani anapiga kazi balaa tuwe makini ohoooo.

Shauri yako Mtela, Umeona Sasa huruhusiwi kufanya kazi kisarawe, Utapangiwa popote ila sio kisarawe, Jaffo na Mkuchika wameshapokea maagizo.
 

Jokate ndio kamchongea?
 
...DAS ana jifanya ye lijali kuzidi wanaume wenzie ...Mwamba kampaa za chemba amelalia viatu saivi alipo huko ndugu zake wakaribu wamuangalie sije akajitundika na shuka kwa mambo aliyo onywa kumbe
 
WATU WANATUMBULIWA KWA KUPIGA MADILI YEYE ANATUMBULIWA KWA SABABU YA KUENDEKEZA K... fal kbsa

Ova
Fala kweli ni lodge zake za bei rahisi alipojichanganya ni kutumia lodge ya mtu wa karibu wa baba sijuii alikuwa haelewi kile chumba no 13 jakicha pale

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…