DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Hivi ukimfumania mkeo unamwadhibu mwivi pekee ama wote wanastahili adhabu?
 
JAMAN ANGESAMEHEWA KAMA YULE RPC NA WALE WA TAKUKURU JAMANII ..AMA ATPAANGIWA KAZI NYINGINE SIJAONA HILO NENO ..MOLA AMSAIDIE MAHAKAMA ISIMUHUSU LOH ATALIA
Waunga juhudi wote hiyo ndio stahili yao
 
Mkuu, shetani hana rafiki. Vijana wa CCM tunawaeleza hapa kila siku lakini hawati kusikia.
 
Nitamtumia ticket na invitation letter aje hapa Detroit tule maisha. Bongo huko vumbi ukizingatia anapelekwa katavi huko.
Nakujua wewe ni muumini wa show za kibabe pamoja na mizigo iliyoshiba
 
Kwanini umpongeze anaetimiza wajibu wake? na kama ni muhimu kwanini nawewe usianzishe uzi wa hayo unaita tukio la kihistoria
 
Ukiaa na roho mbaya unakuwa unapenda kuinflict wounds tu .Unamfukuza mtu kazi hadharani,unamdhalilisha na bado unataka moto uwake nyumbani.Akina Kangi wanasamehewa alafu huyu unasema apewe nafasi ndogo.
 
Itakuwa amemuonea wivu jamaa anavokamua mizigo ..

Hivi hata wanawake huwa mnaonaga wivu mwanaume akila vitu vitamu?
 
Sio habari ya ccm kuamini hii ni mbinu aliyoingia nayo jiwe yakununua wapinzani akiamini ataumaliza kachemka
 
Nitamtumia ticket na invitation letter aje hapa Detroit tule maisha. Bongo huko vumbi ukizingatia anapelekwa katavi huko.

Na kweli, tena akifika huko mtafutie kazi ya kumsifia Trump, aanze kumuita ni Yesu wa US.
 
MWANAUME RIJALI LAZIMA AWE MALAYA SOMENI VYEMANNYAKATI

SHIDA MLAYA UNAUFANYIA WAPI HILO N TATIZO NJOONI KULE JUKWAAAA TUWAPE SOMO VIJNAA IKISIMAMA UWEZI GONGA W ANDAN PEKEYAKE NA LAZIMA ULIENAE UGONGEWE PRINCIPLE OF ARCHM...
 
Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Anzisha uzi wako jombaaaaa
 
Tena hiyo nafasi ulio itaja ni kubwa sana, amepangiwa kuwa katibu kata
Sasa hivi atataka tu atake asitake si anapelekwa katavi huko kuwa mwalimu wa secondary. Hivyo atakubali tu. Ng'ombe hazeeki maini.
 
Haruhisiwi kutumia mitandao. Mabingwa wa mfumo dume si unawajua tena. Hata TV utakuta haruhusiwi kuwasha mpaka jiwe arudi.


πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
WATU MUHIMU UPINZANI MNASHINDIA MITANDAONI WAKATI WENZENU WAKO MAJIMBONI WAKIPIGA KAZI.

AFU OKTOBA MKISHASHINDWA MTAFUNGUA MAJIMBO MAPYA YA SHILAWADU.

Ww lazima utakuwa ni mzee, hivyo unadhani mitandaoni ni mkoa fulani ambao lazima uende, ndio uweze kuchat.
 
Ni mambo ya usaliti tu yanajirudia, ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…