DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Wajinga wengi wanamuiga Makonda hawajui kama ana kinga ya ziada, hongera kwa kufukuzwa.
 
Magufuli aache wivuu Janet mkewe si yupo?
Yaani Mkuu anasema alipata hadi muda wa kumuonya { kumpiga dogo mkwara] aache Mali za watu .......kama ana muda wa kufuatilia mpaka personal affiliations za maofisa wadogo kama DAS ambao wana mabosi wanao report kwao kama .....DC , RAS, RC , Maofisa Mkoani na Utumishi Wizarani Dodoma , Wakurugenzi Wizarani, Katibu Mkuu , Waziri ......yaaani wote hao hawakutosha kumuonya mtumishi kwa hiererchy hadi yeye wa juu kabisa ahusike , basi hawafanyi kazi zao ...hawatoshi ....huyu aliyetongozewa mke ana nguvu gani hadi imebidi bosi mkubwa kabisa ahusike kuonya na kumuondoa na taratibu za nidhamu za utumishi zipo....Je kuna watu wangapi ndani ya utumishi serikalini waandamizi na hata wasio waandamizi wanatembea na wake au waume za watu ....wamechukuliwa hatua gani ....
 
Wajinga wengi wanamuiga Makonda hawajui kama ana kinga ya ziada, hongera kwa kufukuzwa.
Gambo kaiga Makonda Style yamemkuta ......kakutwa na minoti kibao ..walimuweka mahali salama kidogo...watakua wamemuachia kukwepa fedheha ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ....mipesa aliyokuwa analazimisha kupewa na matajiri wakiwamo wachimbaji wa mawe longido na mererani ...
 
Si alisema tuzaane atasomesha! Huyo anasaidia kuzalisha paliposhindikana ili kuongeza idadi ya wanafunzi.
 
Ndugu huyu boss ndivyo alivyo na kwa kuwa hakuna wa kumpangia,chochote anachotaka atakifanya tu kwangu hilo ni dogo tu ktk mengi alioyafanya.
 
[SUP]walizidisha usista du na ubraza kazini. Mtela c ndio alikuwa big braza wakati ule? Na joke si mwanamitindo? Wafungue kampuni ya fasheni serekalini kuna namna yake tofauti.walikuwa wanarlekea kuharibu kazi....kuna pic moja mtela namkuu wako na maza mmoja....wao hawamuamini wanaongea kwa signio za macho[/SUP]
 
Walio salama ni Makonda na Nyati wengine waache kuiga wataumia
 
Kuna kidosho hapo hajaolewa Mkuu, na wewe tumia akili kidogo basi
 
Na wewe utakuwa na tabia kama yake, hawa wateule wakiteuliwa wanakuwa na dharau sn, amevuna alichopanda. Hongera Rais
 
Heee makubwa!
Dunia hii jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishasema hadharani kwamba anafuatilia (kudukua) mawasiliano ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya,sasa inawezekana alikuwa anacheki tu inbox za jamaa na kucheka iiiiiiiiiii,inaweza ikawa hata hakumpa onyo na hamna aliyelalamika ila anafuatilia mawasiliano ya mdochi wake
 
Kumbe atapangiwa kazi nyingine,sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata ningekuwa mimi nisingeweza kuvumilia namna hii laaah bora NITUMBULIWAGE ijulikane moja - Mwampamba umekufa kiume aisee!!

Jicho limeongea kila kitu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…