DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

mwajiri wako ana jukumu la kusimamia nidhamu na maadili ya mtumishi wake.
 

Hiyo imenikumbusha hadithi ya "penzi kitovu cha uzembe"
 
Hakuna ndo infikie rais....amegusa kitumbua ya mkubwa wangapi wanatembea na wake za watu....alaf hyo ni faragha km alitumia cheo chake angepelekwa takukuru rushwa ya ngono.Pole classmate
eti unapigiwq simu na rais “waloo hahujambo ? sasa bana ninakuwonya achana na wake za watu msema kweli ni kipenzi cha mungu” 🤣🤣🤣 alafu bado unakataa, ni papuchi tamu kiasi gani hiyo
 
Unaweza ukawa unamsingizia Jokate nachofahamu Serikali inavyombo vyake vya kuwamonitor watumishi wake haswa seniors, principals, na Wateule, na kupeleka taarifa kwa Utumishi. Kwahiyo hapo DC anaweza kuwa hausiki
 
Angemtengua kimya kimya,sasa majirani wote,familia na watoto wanajua katumbuliwa kwa ajili ya kutongoza,aisee ni tuhuma za aibu
Duh .!, Mkuu yeye alijuaje?
Hapo kashaleta tafrani kwenye familia ya huyo DAS

Sioni Kama ni wake za watu aseme kaingilia makoloni ya vigogo
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Anajua wakiwepo viongozi wanawake 2 maranyingi huwa hawapikiki chungu kimoja
 
Si mwanamke jamani.....ikute alikuwa anasema yeye ndo anaenifuata fuata ila mimi simtaki.
Dogo alitaka ku share vyandani ma mabosi wake..!! Vya wakubwa haviliwi ni vya kuangalia kwa macho tu.
 
Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri,mtumbuliwa aliteuliwa akiwa si mtumishi wa umma.Vipi mkulu hajasema kuhusu kumpangia kazi nyingine.
Anapelekwa sehemu nzuri kwa kudhibitiwa asijekumwaga ugali.
 
Isije ikawa alikua anamsumbua mkuu wa wilaya, ndo akaamua kumshtaki kwa baby
 
Mwanamke ukimtongoza halafu hakupendi anakuchomea. Ila ukimtongoza anakuelewa na hataki mahusiano anauchuna. Jamaa sema sio baharia anatongoza waziwazi mpaka mkuu anajua.
Huwa tunafanya kama utani utani hivi kupima kina cha maji. Badae kikisanuka inaleta picha kama ya utani utani.
 
Basi kuanzia leo nmemchukia jokate kumharibia mtu ugari wake dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…