Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Huwezi kujenga hoja bila matusi?
 
Sisi tulinganishe na USA, tena kwa USD, ndio size yetu! Sio Congo, Ruanda, Burundi, Mozambique, hapana.
 
Mimi nadhani sio sawa kujifananisha na watu wengine kwenye hili kila nchi inaweka kodi kwa mujibu wa mahitaji yake hiyo Congo ni moja ya nchi ina miundombinu mibovu sana ya barabara hili linajuliaka Tanzania tunachangia mengi ndio maana unakuta tuna barabara nzuri kuliko nchi nyingi sana na mpaka umeme au maji tuko vizuri kuliko hawa, sasa mandeleo haya yanakuja na gharama kwa hiyo sio haki kujifananisha na hawa ila sasa katika dharura hii tunaweza kusema makato gani tuyaondoe kwa muda huu kama tukisema tuondoe hichi na hichi basi barabara mpya au umeme kusambaza vijijini inaweza kusibiri mpaka mwakani. Kwa maana ni lazima tu revisiti budget na kukata miradi ya maendeleo na gharama zingine kama kufupisha vikao vya bunge na mambo mengi tu ili tujuwe ni kiasi gani tunatoa katika bugdet bila kuathiri mambo ya msingi tukiamua hilo ndio unaenda unapunguza kwenye vyanzo kama mafuta. Hili linawezekana lakini isiwe tena unakata halafu kesho unasimama kulaumu barabara haijatengenezwa. Serikali haina biashara ni hizi kodi ndio zinaendesha nchi hata mishahara ya nyongeza pesa inatoka wapi, kwenye kodi. Huwezi sema punguza kodi hapo hapo nataka nyongeza haiwezekani watoe wapi hii pesa? kumbuka budget inaenda na makadirio watakayokusanya kwa mwaka sio pesa iliopo tayari ni makadirio tu. Yote yanawezeka ila kuna gharama zake pia tuzikubali. Lingine kubwa liko katika uwezo wa kila mtu ni kupunguza safari zako zisizo kuwa za lazima kwa maana kama ulikuwa unatumia laki 1 kwa mafuta kwa mwezi jitahidi tumia same laki moja bila kuzidisha lakini gharama zake ni kwamba kama mlikuwa kutwa mko out sasa safari zinapungua au unatumia boda au public transport baadhi ya safari. kukataka gharama zinaanza na sisi, kama ulikuwa unakula kilo ya nyama kula kilo kasorobo basi maisha yanabaki same,
 
Usitusumbue hana mambo ya mfuta; kama hutaki hamia Burundi (Waziri). ElewaTanzania hatuchimbi mafuta ( Waziri), hata marekani bei ya mafuta ni kubwa (rais).
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!
RIP Dkt Didas Masaburi.
 
Ina maana ni Tz tu ndio inayotekeleza miradi , hizo nchi nyingine hazina miradi mikubwa?wala huna hoja, kwani REA, miaka yote tozo zake si zipo mtu anaponunua umeme?
Nchi zote duniani kuna kipindi bei ya bidhaa inakuwa juu sana, hivyo serikali inabidi kupunguza kodi ya uingizaji, au kutoa ruzuku ili kumpunguzia mwananchi wa kawaida mzigo.
 
Boss, REA ilisha jifia kifo cha mende asilimia kubwa ya Vitongoji havina umeme ( achana na takwimu za kisiasa), TARURA hawana lolote la maana wanafanya, barabara nyingi nchini huko vijijini na mitaani wananchi wanatengeneza kwa mikono yao, watu waliwahi kupendekeza mafungu ya TARURA yaende moja kwa moja kwenye akaunti za vijiji ili wanavijiji husika waweke utaratibu wa kutengeneza barabara lakini serikali haisikii maana pesa nyingi za TARURA zinaishia mifukoni mwao wakubwa. Hii ingesaidia sana km ilivyo kwenye shule za serikali ambayo kila shule inapokea bajeti yake na hivyo huwezi kusikia shule ikilalamika kwa kukosa baadhi ya vifaa muhimu km ilivyokuwa huko nyuma kipindi pesa za shule ziliishia kwenye mikono ya wachache.
 
Nyamb*fuuuu
 
Weka na bei ya Zanzibar chizi
 
Swala la wizi lipo duniani kote, hata huko china m'badhirifu wa fedha za uma ananyongwa lkn bado wapo wezi,
Tatizo mkiona miradi imepungua kasi mnalalamika mkiambiwa mlipe kodi mnahisi mnaonewa,

Mbona magu alituingizia kodi za magari kwenye mafuta hamkulalamika hivi? Yaani magari yote sasa hivi hayalipi kodi kila mwaka mzigo wote tulibebeshwa wananchi maskini kwa kua aliogopeka hakuna aliepiga kelele kukemea lile leo wamenogewa ndio mnatokwa povu[emoji23][emoji23]
Mama piga kazi adi mafuta yafike elfu 6 na huko ili mjue sisiemu sio chama kinachofaa kuongoza nchi.
 
Nyamb*fu
Kwamba Kenya hayajapanda sio?
Ni bahati mbaya kwamba wapuuzi wengi sampuli ya Wewe mnashinda mitandaoni kufuatilia nani katembea na nani, nani kavaa nguo mpya.
Halafu inapokuja mada serious kama hii na Wewe unajitutumua.
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!


Mpwapike ipo Burundi au Tz??
 
Kwa hiyo serikali inawategemea wananchi ili ipate fedha za kujenga miundombinu? Vipi mauzo ya Tanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, utalii, uvuvi, matumizi sahihi ya bandari haviwezi kujenga miundombinu?

Waliofadhili sinema ndo wametufikisha hapa
 
Kwa kweli kwa vichwa vyao vigumu wacha waburuzwe tu, akili ziwakae sawa.
 
Nyamb*fu
 
Yaani umeanzisha mada bila kufuatilia fact mbalimbali za uchumi, badala uje na hoja kodi zipunguzwe unashangaa bei kutofautiana na zanzibar? Unahuzunisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…