Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

kikosi kazi hicho kina hasira kwa nini wanuka jasho mnahoji ma kodi mengi nyie lipeni tu zitafunwe mtazikuta kwenye reports za CAG na hamna lolote mtafanya
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Wivu tu unakusumbua[emoji23][emoji23]
 
Waache watambe tu hata enzi za yule muovu mlitamba sana, kutesa kwa zamu na tutaupiga mwingi hadi tufidie gepu lote alotupiga yule muovu.
Bora yule muovu aliewakata mikono wezi 200 na ku favour wanyonge million 59.8 kuliko malaika anaekumbatia wezi 200 na kunyanyasa wanyonge million 59.8
 
Tuqchane na data za kwenye makaratasi tuje kwenye uhalisia..

Je umeona madereva wanaoishi maeneo ya mipakani wakivuka mpaka kwenda kujaza mafuta Nchi hizo jirani?

Maana kipindi Mafuta yamepanda tukiona kule Tunduma,Namanga nk madereva wa Tanzania wqkienda kujaza mafuta huko,sasa mbona saizi hawavuki? Kwamba hawataki bei za chini za mafuta?

Namba na uhalisia huwa hazidanganyi kama siasa za Jiwe.
 
Kutesa kwa zamu, harudi tena yule, mkiambiwa katiba mpya ndio dawa mnajifanya hamuelewi sasa isomeni namba.
 
Bila kusahau na mishahara ipunguzwe kwa kila idara za nchi serikali na binafsi.
 
Aliingiza shilingi ngapi mzee mbona unaongea kama choko wewe?

Huoni ilisaidia kiasi gani, imagine gari iliopaki unahesabiwa hujalipa fee ya barabarani jamaa akaamua kuweka TZS50 iwe kama mchango kwenye mafuta which means ni siku ukiendesha gari ukaenda sheli kujaza wese ndio unalipia hio 50 tsh.

Hata muongee utumbo kiasi gani Magu aliwa outsmart watanzania wengi vilaza. Ndio maana mlimuua kumamaq zenu ila ukweli utabakia ukweli.
 
Hujui unachoandika japo unaonekana una confidence sana.

Kama hii hali ya uhaba wa mafuta sio ya dharura ni kitu gani? simply, unasema sio dharura ili kuficha uozo wa serikali kwenye kukabiliana na hii hali.

Zile nchi wanaoona hii hali ni ya dharura wao tayari wameshatenga kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya kukabiliana nayo. Hawa hawajapunguza vifaa tiba wala mishahara ya wafanyakazi kwenye nchi zao, ni viongozi wanaojielewa tofauti na haya maboga yetu.

Wewe unapewa option za kukabiliana na hali hiyo hapa kwetu kwasababu mpaka sasa serikali yetu bado imelala, unasema kodi lazima iendelee kukatwa, na mashangingi lazima yaendeshwe, poor you!.

Hii yako ni thinking ya kifisadi kabisa, na sitashangaa kama upo huko wizarani kwenye ile bodi ya wezi.
 
Bora yule muovu aliewakata mikono wezi 200 na ku favour wanyonge million 59.8 kuliko malaika anaekumbatia wezi 200 na kunyanyasa wanyonge million 59.8
Wezi gani aliowakata mikono? Zaidi ya kutesa na kuwapeleka kusikojulikana,
Siasa mbaya sana mliaminishwa kuna mafisadi na mahakama yake yaja lkn hata mahakama yenyewe haikuonekana, hakumfunga hata mmoja kwa ufisadi afadhali hata kikwete aliwafunga kina yona basi mramba
 
Wakati mheshimiwa anahojiwa na Tido,alikiri mwenyewe kuwa miradi ya REA itaendelea ila kwa kasi ndogo,na wewe unasema tuendelee kulipa Kodi ya REA kwenye mafuta ili miradi yake iende kasi,
Kama miradi ya REA inatarajiwa kwenda kwa kasi ndogo kwanini Kodi yake kwenye mafuta isiondolewe ibaki ile tunayotozwa kwenye umeme
 
Ndio manake kwa raha zetu, mlitutesa sana
kikosi kazi mko bize kuharibu hii mijadala ya wanuka jasho kwa kila mbinu naona umehamia plan b sasa...hayo mambo yenu ya sukuma gang,msoga gang, mchambawima gang ni upuuzi wenu nyie hapa najadili upeo mdogo wa jinsi nchi hii inavyoendeshwa , hii ni dharura lakini watu wanaona poapoa tu yaani
 
Zanzibar nao wanachukua kutoka nigeria kupitia angola!? Maana degree zetu za ufugaji nyuki hazijuwi lolote.
Kwa Hawa watetezi wa huu upandaji Bei mafuta hakuna hata mmoja anaweza elezea suala la zanzibar..mkitoa mifano ya Kenya,Rwanda,Burundi,DRC ni wanakuja Kama nyuki utasikia tunatofautiana sijui Kodi,Mara bandari wanayochukulia, ila ukigusa mfano was zanzibar,hakuna anaejibu,mnawachosha tu maana ni Kama wamekariri majibu
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
Tatizo ni tozo nyingi kwenye kila lita ya mafuta.
 
wewe na wewe umeandika utumboo. Wenzetu hawana bandar bdo bei iko chini. Kwaiyoo wakichukulia kenya na angola ndo bei iwe chini.

Kama ndo hvyoo mafuta na sisi tuchukulie kenya na angalo hiyo bandar tufugie mbuzi.
Bajeti ya Tanzania tokea enzi za baba wa Taifa inategemea mafuta ya petroli , vinywaji vyenye kilevi na soda ,kwahiyo serikali ikipunguza kodi kwenye petroli itakuwa imepunguza mapato yake. Vita ya Ukraine na Urusi inachangia upandaji wa bei ya mafuta kwa sababu ya vikwazo. Kampuni kubwa za petroli duniani ni za nchi za magharibi - ambazo kwa wakati huu hazinunui wala kuuza mafuta ya Urusi. Hii inasababisha uhaba wa Petroli duniani- kwahiyo bei katika soko la dunia inapanda. Vile vile kampuni yoyote ile ya mafuta itakayokutwa inakiuka vikwazo hivyo itapigwa faini kubwa na kutengwa na mataifa ya Marekani na Ulaya. Nini kifanyike kupunguza ukali wa bei ya mafuta 1) Tuombe vita hii ya Urusi imalizike haraka, 2) Serikali na watu binafsi tubane matumizi ya mafuta, 3) Serikali ikubali kusamehe pato lake la kutoka kwenye petroli na kusimamisha miradi mingine ambayo haina uharaka-kwamfano uhamiaji wa kwenda Dodoma na kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…