Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Dr.Dau sio Mteule wa Kikwete. Aliteuliwa na Rais Mkapa kwa ushauri wa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Ndg Martin Lumbanga. Rekebisha taarifa yako.
Kuna sehemu nimeandika ni mteule wa Kikwete? Soma tena msg yangu.
 
Unapotumbuliwa nyuma yako watu kibao wanaathirika,hasa wakati unao subiri kupangiwa kazi nyingine mengine yanaibuka zama zimebadilika hakuna kubebana.
 
Itoshe tu kumwita mwizi na fisadi tu
 
Wewe wacha kujibaraguza maana elimu yako ni ile ya kuchimba ming'oko
 
Dr Ramadhan Day ni Balozi katika nchi gani mkuu? Kuwekwa benchi si lazima uambiwe mkuu! Atasugua benchi pale wizara ya mambo ya nje mpaka umri wa kustaafu ufike,
Lakini at a poker mshahara na marupurupu ya balozi.
 
SASA UNAPANIKI NN?
ISO siyo Mchezo kuipta ktk Taasisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. PPF wanayo mkuu.
Tulia dawa iingie polepole. Jamaa kafuja hela huenda ubalozi pia ukaota mbawa make atahitajika cello.
 
Bado mnae tu??!! Tatizo ni nini? Mbona ameshajiondokea NSSF baba wa watu!
 
SASA UNAPANIKI NN?
ISO siyo Mchezo kuipta ktk Taasisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. PPF wanayo mkuu.
Tulia dawa iingie polepole. Jamaa kafuja hela huenda ubalozi pia ukaota mbawa make atahitajika cello.
Kwa hiyo shida sasa ni ubalozi?!! Mnataka akae kando kabisaaa ndio mfurahi?!! Endeleeni na hizi kelele pengine Magufuli atawasikia tena.
 



Mtoto wa Kiume haitakiwi kutoa Taarifa za "INASEMAKANA" huo ni Umbea Mkuu. Acha kukaa na dada zako jikoni
 
Mkuu tuletee taarifa rasmi kutoka Real Madrid inayoelezea hayo otherwise. Tusipende kujadili majungu na umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…