View attachment 3212307
===
Kwa Mtazamo wangu Mtu pekee toka CCM anayeweza kumnyoosha vema Tundu Lissu kwa hoja mujarabu ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti mdogo nilioufanya mitandaoni ni wazi Watanzania walio wengi wanatamani katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe kampeni meneja wa Rais Samia ili tumnyooshe vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja,
Lissu ni mtu mwenye akili sana na Leo anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa watu wote ni watu hatari sana kwenye hoja hivyo CCM lazima ijipange kuvulumushiwa hoja Kali kali kuanzia sasa hivyo watu kama akina Kafulila, Polepole, Dkt Bashiru wanahitaji Sasa.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.