David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

sikapendi aka kamtu ka kigoma[emoji34], anaaibisha sana waha, yeye na wapuuzi wenzake mwijaku na baba revo[emoji34]
 
Huyu Kafulila waliokuwa mstari wa mbele bungeni pamoja na Lissu leo anamuita mwongo! Ama kweli siasa ni mchezo mchafu.
 
kufutwa haina maana kwamba haikuwekwa na au kupunguza ukweli kwamba iliwekwa, hilo na lizingatiwe.
 
Kidumu zamaani kilishatoboka na wenyewe hawana habari
 

..CCM tafuteni mgombea mwenye hoja, na mvuto.

..mgombea lazima aweze kujisimamia mwenyewe, na sio kutegemea kampeni meneja, au wasanii.
 
Lissu kwa Kafulila kwa hoja akasome
 
Kwa kweli CCM mmeishiwa, hadi Kafulila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…