David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Ivi jamaa kwao ni Matajiri sana?
Wala siyo matajiri na wala hata yeye mwenyewe hana utajiri na wala hajakulia maisha ya kitajiri zaidi tu ya kujawa na uzalendo katika kifua chake na moyo wake kwa Taifa letu. Yeye hayupo tayari kuchukua pesa ya mtu kwa akili ya kulihujumu Taifa letu. Huyu Mwamba na chuma ni mfano halisi wa wazalendo wanaohitajika katika Taifa letu.
 
Daaah ila vishawishi ni vingi pia
 
Cha kufanya kwa sasa ni kutafuta jukwaa la kafulila.Tumeshindwa kulinda mali zetu zinaibiwa na mabeberu tuje kulinda mtu ana nn cha ajabu huyo nchi hii inahitaji kufumuliwa yote tuanza upya
Binafsi naona huyu kada kaandika vapour tu tunachohitaji Ni kuona mtu anaegusa wananchi direct huku mtaani hali sio hali halafu unaleta story sijui tumtie moyo tumtie moyo sie tunatiwa moyo na nani?kijana huwa unaboa sana kwa mabandiko yako basi tu ningekua uongozini jf wallah ungekula ban ya kudumu
 
Inaonekana hazina nchi hii zimeisha.Kafulila?Huyu aliyenunulika kwa vioande thelathini vya fedha?Muache utani sasa!
Itakuwa hunfahamu vyema Mheshimiwa Kafulila au itakuwa imekuja majuzi tu hapa mjini kutoka mahali ambako ilikuwa huelewi nini kinaendelea hapa nchini.itakuwa au umepata ufahamu wa mambo majuzi juzi tu hapa. Kwa taarifa yako ni kuwa Chuma Kafulila ana historia na rekodi ya kipekee ya kizalendo katika kupiga vita ufisadi na rushwa. Ni mtu aliyenyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda wala kupindishwa kwa vipande vya pesa ya ufisadi au rushwa. Ni mchapa kazi kwelikweli
 
Lucas Mwoshambwa😀
 
Mara nyingi huwa nakueleza Luca,uwe unaacha ujingaujinga. Huko mjini ndiyo mnakuwa wapuuzi hivyo?Kafulila hana tofauti na golddigger,opportunist fulani hivi.Anasaka maisha yake.Eti hazina!Hazina ya kijinga?
 
Ndiyo maana tunakuona kuwa wewe ni limbukeni wa siasa hapa Tanzania.

Labda tuambie kuwa wewe ni mkimbizi kutoka Rwanda au Burundi.

Leo hii mwana ccm unamsifia Kafulila na kumpamba?

Nyie wana ccm mlimtukana Kafulila na kumuita Nyani kisa yeye ni mpinzani.

Akili zako unazijua wewe limbukeni wa siasa za nchi hii ndiyo maana kila mtu anakudharau.
 
Nasikia alimu -Escrow mpaka yule Mtakatifu eti alipiga pale kwa wasukuma ndio maana wanabifu lisiloisha
 
Anabubujikwa na machozi muda huu.Luca ni hopeless material fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…