Mwanga wa Jua
Senior Member
- Mar 7, 2025
- 106
- 54
Nakubaliana na weweAfrica especially Tanzania kuna hela nyingi sn, tatizo ni matumizi makubwa ya anasa na ufisadi wa watawala, uanzishaji wa taasisi, idara na vitengo vingi bila sababu za msingi ndiyo tatizo kubwa.
Unaongea kweli ila hilo ni jambo la kisera lazima zibadilishweAfrica especially Tanzania kuna hela nyingi sn, tatizo ni matumizi makubwa ya anasa na ufisadi wa watawala, uanzishaji wa taasisi, idara na vitengo vingi bila sababu za msingi ndiyo tatizo kubwa.
Eti ni Kafulila ni kichaa🤣🤣Mimi huwa siamini kama Kafulila ana akili timamu, kwanini huwa hashauri watawala kupunguza matumizi makubwa ya anasa?
Hii nchi inateswa na ufisadi + uongozi mbovuUnaongea kweli ila hilo ni jambo la kisera lazima zibadilishwe
Kwani ni mzima sasa?Eti ni Kafulila ni kichaa🤣🤣
Umewahi kumsikia anaongelea matumizi makubwa na ya anasa ya serikali hii? yeye ni sehemu kubwa ya tatizoKwani unao uhakika huwa hawashauri?
Anasa kila sehemu zote zinatawala aiseeUmewahi kumsikia anaongelea matumizi makubwa na ya anasa ya serikali hii? yeye ni sehemu kubwa ya tatizo
Ila nyie CHADEMA sijui Serikali mtakayoiunda itakuwa ni ya aina gani?Hii nchi inateswa na ufisadi + uongozi mbovu
Kwahiyo kuiba CCM ni sawa?Ila nyie CHADEMA sijui Serikali mtakayoiunda itakuwa ni ya aina gani?
Nchi gani inamatumizi ya anasa kuliko serikali ya Tanzania? Marekani yenyewe inasubiri na ndiyo inatoa misaadaAnasa kila sehemu zote zinatawala aisee
Hakuna mwizi CCM hata kama yupo hajapatikana na hiyo hatiaKwahiyo kuiba CCM ni sawa?
Report ya CAG unaijua? inaibua 25% tu ya wizi wenu wajinga wakubwa, kwamba sisi hatuoni rushwa zinavyotembea serikalini?Hakuna mwizi CCM hata kama yupo hajapatikana na hiyo hatia
Ngoja atunyooshe kama alivyotunyoosha Magu mpaka tukafika uchumi wa kati...View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11%.
Baada ya Rais Trump kupunguza misaada ya Marekani katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa Africa ?
Je, hili ndio lengo la Rais Donald Trump katika kukuza Uchumi wa Africa?
Naamini hii si habari njema kwa wanaofurahia Trump kuinyima misaada Serikali ya CCM kwani ni sawa na kumpiga teke chura.
Kafulila anaweza kuwa ndio mtu anayepambana zaidi kumtetea Samia kuliko yoyoteView attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11%.
Baada ya Rais Trump kupunguza misaada ya Marekani katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa Africa ?
Je, hili ndio lengo la Rais Donald Trump katika kukuza Uchumi wa Africa?
Naamini hii si habari njema kwa wanaofurahia Trump kuinyima misaada Serikali ya CCM kwani ni sawa na kumpiga teke chura.
Mjomba anagusa na kuachiaView attachment 3258108

Tufunge tu Mkanda hakuna namnaHata Mimi siungi mkono misaada acha Africa ipambane na ilete heshima yake
Sio hata data, the way he formulates his arguments and the nonsense behind his justification.Achana na data za kupika za huyo Mrundi
Kama huelewi hii PPP ni moja ya njia za kubana matumiziUmewahi kumsikia anaongelea matumizi makubwa na ya anasa ya serikali hii? yeye ni sehemu kubwa ya tatizo