David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11%.

Baada ya Rais Trump kupunguza misaada ya Marekani katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa Africa ?

Je, hili ndio lengo la Rais Donald Trump katika kukuza Uchumi wa Africa?

Naamini hii si habari njema kwa wanaofurahia Trump kuinyima misaada Serikali ya CCM kwani ni sawa na kumpiga teke chura.
Ngoja atunyooshe kama alivyotunyoosha Magu mpaka tukafika uchumi wa kati...
 
View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11%.

Baada ya Rais Trump kupunguza misaada ya Marekani katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa Africa ?

Je, hili ndio lengo la Rais Donald Trump katika kukuza Uchumi wa Africa?

Naamini hii si habari njema kwa wanaofurahia Trump kuinyima misaada Serikali ya CCM kwani ni sawa na kumpiga teke chura.
Kafulila anaweza kuwa ndio mtu anayepambana zaidi kumtetea Samia kuliko yoyote
 
View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11%.

Baada ya Rais Trump kupunguza misaada ya Marekani katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa Africa ?

Je, hili ndio lengo la Rais Donald Trump katika kukuza Uchumi wa Africa?

Naamini hii si habari njema kwa wanaofurahia Trump kuinyima misaada Serikali ya CCM kwani ni sawa na kumpiga teke chura.
Mjomba anagusa na kuachia
 
Huyu mtu ni mkurugenzi wa PPP ambae anatumia nguvu kubwa sana kuji-promote JF.

Kiwango cha hela anachotumia kujifanyia promotion, JF hata CCM aifui dafu kumnadi ‘bi-tozo’.

Na ana-nadi miradi ambayo ni either cash cows za serikali au mambo ambayo hana uelewa wa investment appraisal ya serikali itafaifika.

Ni taahira anaeongea ujinga kwenye media na kalipa wajinga wenzake ku-promote ujinga wake.

Kafulila huna uwezo wala uelewa wa mambo unayoongelewa.

Ukipata zari la kulamba asali ishi nalo kimya kimya, kama wenzako.

Hizi tabia za kujianzishia mada na kuwalipa sakapoko kuchangia ujinga zinakera kweli kweli.

Kafulila hana analojua kuhusu maswala ya investment.

Hakuna shida yeye kunufaika na nafasi yake aliyopata.

Lakini m inakera sana kusikiliza ujinga wa mtu ambae anaongea mambo ambayo hana technical knowledge nayo. Halafu kaajiri wajinga ambao wapo committed kutuandikia ujinga wake kila uchao.

Kafa hana akili za kibiashara kupewa hiyo nafasi, hana uelewa wa investment, hana uelewa wa economy.

Hana analolijua yupo hapo kwa bahati, na asilimia kubwa ya interview zake anaongea ujinga mtupu. Hata hiyo nafasi kapata vipi only in Tanzania.

Lakini Kafulila hana technical knowledge ya hiyo nafasi, ni mjinga tu mwingine.

Ndio ukweli, sema jamaa committed kujipaisha; Lakini hana huo uwezo wa hiyo nafasi. Hana ata chemię, hana ujinga mtupu ukimsikiliza.

Umepewa nafasi ishi nayo, sio kuongea ujinga wa maswala ambayo una uelewa nayo.

Hakuna kitu Kafulila anajua kuhusu maswala ya investment zaidi yakuongea ujinga tu; hakuna anachojua.

Please stop this nonsense ya kusoma huu ujinga wa Kafulila; hakuna anachojua.
 
Achana na data za kupika za huyo Mrundi
Sio hata data, the way he formulates his arguments and the nonsense behind his justification.

Hakuna mtu anashida na nafasi ya Kafulila huko serikalini, kwenye serikali ikitoka iliyojaza watu luluki wasio na technical knowledge ya nafasi zao.

It’s the over ambitions za huyu mtu kutwa kuongea ujinga na kulipa watu au yeye mwenyewe ya kutuandikia ujinga humu JF kuhusu ujinga wangę ndio inakera.

Yaani kila uchao unasoma ujinga wa Kafulila kwa maelezo ambayo ukisoma mada zenyewe ni ujinga mtupu wa maswala ambayo hawana nitty gritty zake.

Ni kuandika ujinga tu, yaani kuna watu wapo committed ku-post ujinga wa Kafulila kushinda CCM humu jukwaani.

Kafulila mwenyewe nae anatumia muda mwingi kutafuta air time kuongelea mambo ambayo hata elementary knowledge inamsumbua ni ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom