David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Hapa Bongo tuna nmb Mwanamke na CRDB Mwanaume,Kafulila ebu type taarifa hiyo ya mara kumi zaidi ya CRDB .


Tulikuwa na awamu ya tano mwanaume na awamu ya sita
Tupe hiyo mara kumi zaidi katika thamani ya Dola ya kimerekani kuepusha utofauti unaosababishwa na kushuka Kwa thamani wa Pesa yetu
 
Tuende mbele turudi nyuma Wanawake bado ni waadilifu sana,

Nadhani Kafulila Yuko sahihi
Ndio maana wahuni wana waliharibia jeshi la Polisi kwenye kubambikia kesi watu, na dipipi kukosa uweledi
 
Samia oyee
 
Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Jiongelee wewe , honest gentlemens waliotulia wapo, tabia zako usibebeshe wengine
 
Hakuna chochote wanawake ni watu dhaifu sana hasa kwa wanaume
 
Angemuachia Jesca Kishoa awe kichwa cha familia yake hiyo ndoa yao isingekufa bila shaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…